Rapa kutoka kundi la Tamaduni music na heatmaker wa wimbo
wa “Chini ya Ulinzi’Songa ambaye sasa anayo wimbo wake mpya unaoitwa ‘juu kwa
juu’ ameelezea sababu za kuchelewa kwa video
Mwanamuziki wa Bongo fleva mwenye ndoto za kimataifa Meda Classic ameongea na mashabiki wa ke wakae tayari kwaajili ya video yake mpya
inyokwenda kwa jina la KONGOI,