Pages

Saturday, July 18, 2015

Friday, July 17, 2015

Vanessa mdee na diamond watajwa kuwania kwenye tuzo za African entertaiment za marekani

By eva godchance

Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka
washindi kwenye tuzo za MTV MAMA
zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA,
Diamond na Vanessa Mdee wametajwa tena.

Thursday, July 16, 2015

DJ rasmi was Jay Z, young Guru kuwasha moto Dar, Jumamosi


By Eva godchance


Jiji la Dar es Salaam Jumamosi hii litapokea
ugeni mkubwa kutoka kwa engineer wa muziki.