By Nemmy Kim.
Linex
ni mmoja ya wakali ambao wamevuka mwaka kwa kuweka rekodi nzuri mwaka
uliopita na pia kuanza 2015 kwa kuandika rekodi nzuri pia.
Jana January 11 ilikuwa shangwe pale
Kigamboni, kama ulikosa nafasi kuwa mmoja ya waliojitokeza kumpa shangwe
la nguvu mkali huyu nakupa time kuenjoy na picha hizi ambazo
nilikupigia jana wakati Linex akitoa burudani kubwa kwa watu wake pale Club Kakala, Kigamboni Dar.
No comments:
Post a Comment