Pages

Thursday, January 15, 2015

NEWS: Jux ameonyesha kipande cha video cha wimbo wake mpya aliyoshiriki Vanessa Mdee

By Nemmy Kim.

              Jumaaaaaaaaaaa

 Muimbaji wa Uzuri wako, Juma Jux baada ya kuachia single yake mpya aliyoipa jina Sisikii katika vituo mbalimbali vya radio. Sasa kupitia mitandao ya kijamii instagram ameonyesha  kionjo cha video yake mpya iliyoshiriki msanii Vanessa Mdee.

No comments:

Post a Comment