By Nemmy Kim.
Ugonjwa wa kuvuja kwa single za
wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka
Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki
hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.
Akiongea Babu Tale amesema binafsi ameshangaa baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli
wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote
ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala
hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale
No comments:
Post a Comment