Pages

Wednesday, January 14, 2015

NEW VIDEO; BIG NATION -MASSAWE.

By Nemmy Kim.

Mashabiki wa mziki wa Tanzania hawa ni wa Upcoming Artist kutoka Arusha wanaoitwa Big Nation baada ya kuitambulisha Audio yao ya MASSAWE iliyotengenezwa na producer  Defxtro aliyowahikufanya nyimbo za wanamuziki maarufu Tanzania kama Nikki wa pili, Lord Eyez,Ben Pol, Stereo, Joh Makin na wengine wengi.
                                
Pata kutazama Video ya wimbo wa "Massawe" HAPA  http://youtu.be/eWY41Gjm2gE  toka kwa The Big Nation Mafaya Faya, akiwemo G Faya Faya, Eleven Dj na Taraa Sing, wakiwakilisha vyema Kaskazini, pande za Arusha. Video imeongozwa na Director Justinoo wa Kucaz Video               Audio imetoka Noizmekah Production Studios<a href="/channel/UCBYSXTLafi89sSU3Cz9LGtA" class=" yt-uix-sessionlink     spf-link  g-hovercard" data-sessionlink="ei=P3G2VOarF4jBc5KGgfgK" data-name="" data-ytid="UCBYSXTLafi89sSU3Cz9LGtA">Noizmekah Hoodpixx</a>     Chini ya @Defxtro Pakua audio HAPA  https://mkito.com/song/massawe/2365  kwa mawasiliano zaidi check na BigNation Mafaya Faya kwa nambari 0756 730 356 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @mkitodotcom @defxtro #supportafricanartists #shidampya

No comments:

Post a Comment