Na hii ndio video mpya ya Joh Makini, unaambiwa imefanywa Kigamboni kwa asilimia kubwa sana.
By Nemmy Kim. Amerudi
tena kwenye TV yako na hii new video ya single ya XO ft. G Nako ambapo
video yote imefanywa Dar es salaam ambapo Kigamboni imetumika kwa
asilimia 70 ambapo 30 nyingine iliyobaki ni maeneo ya karibu na
Kigamboni, Joh ameiambia millardayo.com
Ukishaitazama hapa chini usiache kuniandikia lako la moyoni ili Joh akipita usiku aone watu wake wanasema nini kuhusu video.
No comments:
Post a Comment