Pages

Thursday, March 12, 2015

New Music:LINEX Ft. DIAMOND-SALIMA


 Utaisikia hapa collabo ya Diamond Platnumz na Linex- Salima (Audio)

By Nemmy Kim.

msanii Linex amezungumzia wimbo wake mpya wa salima aliomshirikisha Diamond Platimuz aliouachia leo, amesema leo anasambaza wimbo huo kwenye vituo mbalimbali vya Radio na Television na yuko kwenye mikakati ya kuipeleka kwenye vituo vikubwa vya Television nje ya nchi, ambapo Audio ya wimbo huo imefanywa na producer Tuddy Thomas huku video ikifanywa na director mkali Bongo Adam Juma.

No comments:

Post a Comment