www.WAMILAZO.blogspot.com

Pages

  • Home

Monday, February 13, 2017

NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KATIKA GRAMMY NA KUI' DEDICATES KWA BEYONCE

By Nemmy Kim

Mwanamuziki Adele ajishindia Tuzo tano huku Beyonce akiondoka na Tuzo mbili katika Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani siku ya jumapili.

Baadhi ya vipengele ambavyo Adele alishinda ni pamoja na Wimbo bora wa mwaka, Mtumbuizaji wa mwaka na Album bora ya mwaka Ambapo katika kipengele hicho alipokabidhiwa Tuzo hiyo alisema Tuzo hiyo anai'dedicate kwa queen bey,  Beyonce na Album yake ya LEMONADE"

Ambapo Adele alisema anastahili Tuzo hiyo na siku zote alikuwa akimuangalia beyonce kwa kujifunza kwani anamkubali na alimuomba Beyonce awe mama yake katika muziki kwakuwa Beyonce anazaidi ya miaka 17 na ni bado Mwanamuziki bora Duniani. Na Beyonce alikuwa pembeni ya Jay Z wakimuangalia Adele jukwaani akiongea huku akibubujikwa na machozi.







Beyoncé, standing beside her husband Jay Z, looked on with tears in her eyes. “The way you make me and my friends feel, the way you make my black friends feel is empowering,” Adele added. “You make them stand up for themselves and I love you. I always have and I always will.”
Following this, Adele reportedly broke her gramophone in two and shared half of it with Beyoncé. Backstage, the British songstress continued to praise Queen Bey. “I thought it was her year,” she told reporters. “What the fuck does she have to do to win Album of the Year?”
Tonight, Adele took home five awards in all including Best Pop Solo Performance for “Hello” and Best Pop Vocal Album for 25. Meanwhile, Beyoncé only won two: Best Urban Contemporary Album for LEMONADE and Best Music Video for “Formation.”
See more of tonight’s winners here.
  •   0
  •   582

Shining
Posted by www.wamilazoblog.com at 12:18 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

www.wamilazoblog.com
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2020 (1)
    • ►  04/05 - 04/12 (1)
  • ►  2019 (11)
    • ►  11/10 - 11/17 (2)
    • ►  10/06 - 10/13 (5)
    • ►  09/29 - 10/06 (3)
    • ►  02/17 - 02/24 (1)
  • ▼  2017 (33)
    • ►  06/18 - 06/25 (1)
    • ►  05/21 - 05/28 (3)
    • ►  05/14 - 05/21 (11)
    • ►  04/30 - 05/07 (1)
    • ►  04/16 - 04/23 (1)
    • ►  04/09 - 04/16 (1)
    • ►  03/26 - 04/02 (1)
    • ►  03/19 - 03/26 (5)
    • ►  03/05 - 03/12 (1)
    • ▼  02/12 - 02/19 (5)
      • VIDEO: KID INK FEAT. 2 CHAINZ – ‘SWISH’
      • NEW MUSIC: TREY SONGZ – ‘NOBODY ELSE BUT YOU’
      • NEW MUSIC; MAROON 5 FT FUTURE_COLD
      • NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KAT...
      • NEWS; CHANCE THE RAPPER ASHINDA TUZO ZA GRAMMY
    • ►  01/15 - 01/22 (1)
    • ►  01/08 - 01/15 (2)
  • ►  2016 (92)
    • ►  12/18 - 12/25 (1)
    • ►  12/11 - 12/18 (1)
    • ►  12/04 - 12/11 (1)
    • ►  11/27 - 12/04 (3)
    • ►  11/20 - 11/27 (19)
    • ►  10/30 - 11/06 (3)
    • ►  10/23 - 10/30 (2)
    • ►  10/02 - 10/09 (3)
    • ►  09/11 - 09/18 (10)
    • ►  08/21 - 08/28 (3)
    • ►  08/07 - 08/14 (14)
    • ►  07/31 - 08/07 (13)
    • ►  07/17 - 07/24 (2)
    • ►  07/03 - 07/10 (4)
    • ►  06/19 - 06/26 (1)
    • ►  06/12 - 06/19 (3)
    • ►  06/05 - 06/12 (7)
    • ►  02/28 - 03/06 (1)
    • ►  02/14 - 02/21 (1)
  • ►  2015 (158)
    • ►  08/09 - 08/16 (1)
    • ►  07/26 - 08/02 (2)
    • ►  07/19 - 07/26 (2)
    • ►  07/12 - 07/19 (3)
    • ►  07/05 - 07/12 (1)
    • ►  06/14 - 06/21 (1)
    • ►  06/07 - 06/14 (2)
    • ►  05/31 - 06/07 (1)
    • ►  05/24 - 05/31 (2)
    • ►  05/17 - 05/24 (1)
    • ►  05/10 - 05/17 (5)
    • ►  05/03 - 05/10 (2)
    • ►  04/26 - 05/03 (3)
    • ►  04/12 - 04/19 (1)
    • ►  03/29 - 04/05 (6)
    • ►  03/22 - 03/29 (4)
    • ►  03/15 - 03/22 (18)
    • ►  03/08 - 03/15 (7)
    • ►  02/22 - 03/01 (19)
    • ►  02/15 - 02/22 (8)
    • ►  02/08 - 02/15 (1)
    • ►  02/01 - 02/08 (8)
    • ►  01/25 - 02/01 (6)
    • ►  01/18 - 01/25 (6)
    • ►  01/11 - 01/18 (48)
  • ►  2014 (312)
    • ►  12/21 - 12/28 (7)
    • ►  12/14 - 12/21 (19)
    • ►  12/07 - 12/14 (4)
    • ►  11/16 - 11/23 (13)
    • ►  11/09 - 11/16 (40)
    • ►  10/12 - 10/19 (7)
    • ►  10/05 - 10/12 (11)
    • ►  09/28 - 10/05 (21)
    • ►  09/21 - 09/28 (17)
    • ►  09/14 - 09/21 (2)
    • ►  09/07 - 09/14 (15)
    • ►  08/31 - 09/07 (18)
    • ►  08/24 - 08/31 (16)
    • ►  08/17 - 08/24 (30)
    • ►  08/10 - 08/17 (10)
    • ►  08/03 - 08/10 (23)
    • ►  07/27 - 08/03 (32)
    • ►  07/20 - 07/27 (12)
    • ►  07/06 - 07/13 (10)
    • ►  06/29 - 07/06 (5)

@nemmykim1 twitter

  • @nemmykim1 twitter
  • www.lostpoetsforever.blogspot.com
  • @Nemmykim instagram

Popular Posts

  • NEWS;Chance The Rapper apanga kufanya kitu kikubwa kwa Kanye West
    By Nemmy Kim. Rapper kutoka kwenye mji wa Chicago , Chance The Rapper amedai kuwa anahitaji kufanya maombi makubwa kwa ajili ya Kanye W...
  • Teaser: The Weeknd amfuata Drake, apanga kuachia filamu yake mpya
    By Nemmy Kim. The Weeknd ameamua kufuata nyayo za rapper Drake baada ya kupanga kuachia filamu yake fupi aliyoipa jina la ‘Mania ’.
  • New Video: Meda Classic_Alele
    By Nemmy Kim.  Msanii wa bongo fleva ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao Alele.
  • EDDY KENZO APATA SHAVU KWA FRENCH MONTANA.
    By Nemmy Kim. Hitmaker wa Sitya Loss, Eddy Kenzo alisaini makubaliano na star wa Marekani, French Montana
  • NES; Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90
    By Nemmy Kim. Fidel Castro , kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90...
  • (no title)
    Album Cover: Keyshia Cole – ‘Point of No Return’ Keyshia Cole is not looking back on the cover for her sixth album Point of No Return...
  • Tanzania inatumia sera ya utamaduni ya mwaka 1997, BASATA yawataka wasanii wapiganie wapate sera mpya
    By eva godchance  Tanzania bado inatumia sera ya utamaduni ya taifa ya mwaka 1997.
  • NEWS: Jeezy Details Support For Ferguson Protests
    By Nemmy Kim                                              The rapper explains talking to Louis Farrakhan about current pro...
  • New Music: Tinashe f/ A$AP Rocky – ‘Pretend’
    By Nemmy Kim With her ScHoolboy Q-assisted hit “2 On” still burning up the airwaves, Tinashe teams with A$AP Rocky on the De...
  • NEWS:HII NI HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA ARUSHA TANZANIA.
    By Nemmy Kim. Habari Njema kwa wakazi wa ARUSHA , yanii Nazungumzia  bonge la show siku ya Pasaka. 'PASAKA_Party' Kutakuwepo N...

Video

  • Home
  • Audio
  • Video

NemmyEmpire

  • Home
Simple theme. Powered by Blogger.