By Nemmy Kim.
Beyoncé na Jay Z wametangazwa ndio wanandoa matajiri zaidi dunia ambao ni Wanamuziki wenye dollar za kimarekani billion 1.16 Kupitia jarida la Forbes.
Baada ya Jay Z kutangazwa ndiye Mwanamuziki anayeshikilia nafasi ya kwanza kwa kuwa na utajiri wa dollar million 850 kutokana na Kuwa mfanya Biashara pia mke wake Mwimbaji Beyonce anamiliki utajiri wa dollar million 350, Na kwa Pamoja couple hiyo imefikisha dollar billion 1.16.

Jay’s wealth comes through a variety of sources, including Roc Nation and Armand de Brignac champagne. Meanwhile, Queen Bey earns her fortune through different avenues, including her solo career, Ivy Park, and her Parkwood imprint.
Both stars also co-own TIDAL, which has continued growing thanks to exclusive releases and a new partnership with Sprint.
The billion-dollar couple, who is expecting twins, is reportedly shopping for a multi-million dollar home in Los Angeles for their growing family.
No comments:
Post a Comment