By Creator,
Rapa na mwimbaji Tory lanez ametoa Album yake mpya ya Chixtape 5 ikiwa na jumla ya nyimbo 18 miongoni mwa wasanii walioshirikishwa katika album ya chixtape 5 ni pamoja na Lil Wyne, Snoop Dogg, Fabolous The Dream, Jermaine, T-Pain,Mya, Dupri, Ludacris, Chris Brown, Ashant, Trey Song na wengine.
Album hiyo ame-sample baadhi ya kazi zake alizowahi kufanya miaka ya 2000, Chixtape 5 inasambazwa kupitia spotify.

No comments:
Post a Comment