Pages

Saturday, July 18, 2015

Friday, July 17, 2015

Vanessa mdee na diamond watajwa kuwania kwenye tuzo za African entertaiment za marekani

By eva godchance

Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka
washindi kwenye tuzo za MTV MAMA
zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA,
Diamond na Vanessa Mdee wametajwa tena.

Thursday, July 16, 2015

DJ rasmi was Jay Z, young Guru kuwasha moto Dar, Jumamosi


By Eva godchance


Jiji la Dar es Salaam Jumamosi hii litapokea
ugeni mkubwa kutoka kwa engineer wa muziki.

Wednesday, July 8, 2015

BAADA YA SISTER P NA RAPII NI ZAMU YA MWANADADA "HD.

By Eva godchance

Rapa wa kike anayechipukia kwenye mziki wa bongofleva Hd kutokea Arusha Ni moja kati ya wasanii ambao wanandoto ya kuziba mapengo ya rapa wakike waliokuja na kupotea.

Tuesday, June 16, 2015

baada ya "JUU KWA JUU" SONGA atangaza "HISIA ZA MOYONI"

By eva godchance

Heatmaker wa juu kwa juu Songa Mwanamuziki wa hip hop kutoka kundi la Tamaduni Music Ijumaa hii ya tarehe 19 June 2015 ataachia Wimbo wake mpya wa "HISIA ZA MOYONI.

Tuesday, June 9, 2015

New Video: Jdeal_namimi Nimo

By Eva God chance.

Mwanamuziki wa bongo fleva Jdeal baada ya kufanya vizuri na Wimbo wake wa "Namimi Nimo"

NEW VIDEO: FIDO VATO ft DULLYSYKESDULLYSYKES_SURVIVORS

Eva godchance 
 http://youtu.be/yxIq_UIWYEg  kutazama Official Video ya "FidoVato ft DullySykes" - "SURVIVORS"