By Nemmy Kim.
Cruel Winter’ inakuja, Kanye west ameachia wimbo wa kwanza kabisa kutoka kwenye album hiyo.
https://soundcloud.com/nightsinoctober/champions-good-music
Wimbo huu umewashirikisha wasanii wa label yake ya G.O.O.D. Music, Ikiwemo Gucci Mane, Desiigner, Quavo, Travis Scott, Big Sean, 2 Chainz, na Yo Gotti.
Sunday, June 5, 2016
Rich Mavoko amesema Mkataba wake na King Kaka haukuwa na limitation
By Nemmy Kim.
Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka.
Kifo cha Mohammed Ali chazua siasa Marekani
By Nemmy Kim.
Kifo cha Muhammed Ali kimezua malumbano makali katika ulingo wa kisiasa miongoni mwa wagombea wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu, utakaofanyika mwezi Novemba nchini Marekani.
Kura ya maoni yafanyika Uswisi
By Nemmy Kim.
Raia nchini Uswisi wanashiriki katika shughuli za kwanza kabisa za kura ya maoni, zinazofanyika kote Nchini humo kuamua kuanzishwa kwa kipato cha msingi bila ya masharti.
Monday, February 29, 2016
Orodha nzima ya washindi wa tuzo za Oscar
Thursday, February 18, 2016
India yatengeza ‘smartphone’ ya bei rahisi duniani, inauzwa dola 3 sawa na tsh 6300
Kampuni moja ya India inatarajiwa kuzindua kile kinachojulikana kuwa simu aina ya smartphone ya bei rahisi.
Wednesday, August 12, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)






