Pages

Monday, June 6, 2016

Wanasayansi kukuza viungo vya binadamu ndani ya nguruwe

By Nemmy Kim.

Wanasayansi nchini Marekani wanajaribu kukuza viungo vya binadamu ndani ya mwili wa nguruwe, wakitumia teknolojia mpya inayofahamika kama 'Gene Editing'.

MICHEZO: Mwili wa Ali wawasili Kentucky

By Nemmy Kim

Mwili wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa.

Sunday, June 5, 2016

Entertainment: Kanye West aachia wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya ‘Cruel Winter’

By Nemmy Kim.

Cruel Winter’ inakuja, Kanye west ameachia wimbo wa kwanza kabisa kutoka kwenye album hiyo.
https://soundcloud.com/nightsinoctober/champions-good-music
Wimbo huu umewashirikisha wasanii wa label yake ya G.O.O.D. Music, Ikiwemo Gucci Mane, Desiigner, Quavo, Travis Scott, Big Sean, 2 Chainz, na Yo Gotti.

Rich Mavoko amesema Mkataba wake na King Kaka haukuwa na limitation

By Nemmy Kim.

Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka.

Kifo cha Mohammed Ali chazua siasa Marekani

By Nemmy Kim.

Kifo cha Muhammed Ali kimezua malumbano makali katika ulingo wa kisiasa miongoni mwa wagombea wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu, utakaofanyika mwezi Novemba nchini Marekani.

Kura ya maoni yafanyika Uswisi

By Nemmy Kim.

Raia nchini Uswisi wanashiriki katika shughuli za kwanza kabisa za kura ya maoni, zinazofanyika kote Nchini humo kuamua kuanzishwa kwa kipato cha msingi bila ya masharti.

Monday, February 29, 2016

Orodha nzima ya washindi wa tuzo za Oscar

Tuzo za 88 za Oscar zimetolewa Jumapili hii kwenye ukumbi wa Dolby, Hollywood, Marekani. Chini ni washindi wa tuzo hizo.