Pages

Wednesday, July 20, 2016

News:T.SIGWA, NAMTAMANI JOH MAKIN NIKAE NAE KWENYE TRACK MOJA.

By Nemmy Kim.

Hayo yamesemwa na mwanamziki anayekuja kwa kasi T.Sigwa kuwa anatamani kufanya collabo na Joh Makin, Belle 9 kwa wasanii wanaoimba,

Mfungwa mkongwe zaidi aachiwa huru

By Nemmy Kim.

Mwanamke mmoja raia wa Bangladesh ambaye anakisiwa kuwa ndiye mfungwa mkongwe zaidi ameachiwa huru.

Saturday, July 9, 2016

New Video: Meda Classic_Alele

By Nemmy Kim.

 Msanii wa bongo fleva ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao Alele.

Simu milioni 10 za Android zaathiriwa na kirusi

By Nemmy Kim.

Hadi simu milioni 10 aina ya Android zimeambukizwa virusi vinavyotoa Clicks bandia kwa ajili ya matangazo kulingana na watafiti.

SIASA; Wanajeshi wengi wadaiwa kuuawa Sudan Kusini

By Nemmy Kim.

Taarifa kutoka Sudan Kusini zinasema mamia ya watu, wengi wao wakiwa ni wanajeshi wameuawa katika mapambano baina ya vikosi vyenye uhasama katika mji mkuu wa Juba.

SIASA: Marekani yawatimua wajumbe wa Urusi

By Nemmy Kim.

Imebainika kuwa Marekani iliwafukuza maafisa wawili wa Urusi mwezi uliopita kufuatia kushambuliwa kwa mwandiplomasia wa Marekani mjini Moscow.

Sunday, June 19, 2016

NEW MUSIC: BELLY FEAT. THE WEEKND, 2 CHAINZ, & YO GOTTI – ‘MIGHT NOT (REMIX)’

By Nemmy Kim.

 Mwanamuziki kutoka nchini Marekani anayeitwa Belly, ametoa remix ya wimbo wake unaoitwa  "Might Not" Amemshirikisha The Weekend, Yo Gotti & 2Chainz.