Kanye West na Drake huenda wakatoa album ya pamoja siku za usoni.
Watu wenye ushawishi pamoja na wanasiasa maarufu nchini Marekani kutoka katika bunge la Congress na chama cha Republican wametoa matamko yao kuwa hawatampa kura zao mgombea wa nafasi ya urais Donald Trump, wakisema kwamba mgombea huyo hatoshi kwa nafasi hiyo nyeti ulimwenguni.




