Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende.
Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa KWETU STUDIOS.
Wimbo mpya kutoka kwa kid Ink akiwa amemshirikisha 2chainz unaitwaSwish. Na pia 2chainz Anatarajia kutoa Album yake mpya itayokwenda kwa jina la "Pretty Girls Like Trap Music" ifikapo April 7 mwaka 2017.
Treysongz Baada ya kufanya vizuri na Album yake ya Trigga aliyotoa March mwaka 2014 , kwasasa Wimbo wa "Nobody else but You" ndiyo ya kwanza aliyoutoa rasmi leo Feb 16 ,
Maroon 5 adondosha wimbo mpya "Cold" baada ya kufanya vizuri hadi kuweza kuingia kwenye top 10 ya chati kubwa za kimuziki duniani na wimbo wake wa Don't wanna Know aliomshirikisha Kendrick Lamar.