Pages

Sunday, March 19, 2017

New Video: Barakah The Prince – Acha Niende

By Nemmy Kim.

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende.
Audio ya wimbo huu imeandaliwa na producer Maneck kutoka AM Records na video imeongozwa na kampuni ya Head Master Production.
Itizame video hiyo mpya ya Baraka The Prince_Acha Niende.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

No comments:

Post a Comment