Video: Jason Derulo Ft Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla
By Nemmy Kim.
Msanii Jason Derulo ameachia video mpya akiwa wimbo unaitwa “Swalla”, amewashirikisha Nicki Minaj na rapper Ty Dolla $ign, Director wa video ni Gil Green , ikiwa ni single yake mpya kutoka kwenye album yake ya tano ya Jason ambayo itatoka mwaka huu.
No comments:
Post a Comment