Travis Scott claims any speculation about him cheating is false. Following his recent split with Kylie Jenner, the “Sicko Mode” creator has denied any infidelity during his relationship with the Kardashian family socialite.
2 Chainz has made another big business move after purchasing an ownership stake in the A3C Festival. The veteran MC has announced a new partnership between his label T.R.U. and Atlantic Records.“I’m excited on the new venture building from the ground up, my biggest goal is to play a part in changing someone’s life and make them a millionaire,” he told Billboard. “I treat the record label as school with various levels. That’s why we refer to it as ‘The Real University.’ It’s a course you go through.”
Rapa Gucci mane ametangaza ujio wa Album yake mpya ya Woptober II" Baada ya kupost cover ya Album yake hiyo mitandao ya kijamii, ambayo itakuwa ni muendelezo wa Mixtape ya Woptober ya 2016.
By Nemmy Kim:
Msanii Wa Muziki wa injili ajulikanae kwa jina La Baju ametoa wimbo mpya uitwao "Na ujulikane" umetengenezwa Na producer Justin.
Bofya hapa Ku download >>> https://cloudup.com/files/iEFmRcWQmXw/download
Ma'dancer wa Uganda Ghetto Kids wamedondokewa na donge nono nchini Marekani la kuweza kuonekana Wakitumbuiza kwa mara ya kwanza Katika jukwaa moja na French Montana.