Pages

Saturday, December 20, 2014

NEWS: Wasanii kumi wa Nigeria kwenye rekodi ya waliotafutwa zaidi kupitia Google Search


By Nemmy Kim.

List ya wasanii kumi waliotafutwa kupitia google chini Nigeria, kama kawaida nyota wa Skelewu Davido ni mkoja ya mastaa ambao tukiuzungumzia muziki wa Afrika Magharibi, jina lake ni moja ya majina ambayo yameng’aa sana kwa mwaka 2014.
 
Mtandao wa Google umemtaja Davido kwamba ni staa namba moja kwa wanamuziki wa Nigeria aliyetafutwa zaidi mwaka 2014 kwenye mtandao.

Kwenye list hiyo Phyno ameshika namba mbili na nafasi ya tatu kushikwa na the Marvin’s Queen, Tiwa Savage
Nimekuwekea List ya top ten hiyo hapa.
1. Davido
2. Phyno
3. Tiwa Savage
4. Don Jazzy
5. Timaya
6. Ice Prince
7. Olamide
8. Sean Tizzle
9. Lil’ Kesh
10. Burna Boy

New Video:hii ndio video mpya ya Izzo Bizness

By Nemmy Kim.

Rapper kutokea Mbeya City, Izzo Bizness baada ya kuachia single ya X Mas aliyomshirikisha Myra sasa time hii amekuja na video mpya ya single hiyo.
Itazame mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili  Izzo Bizness akipita hapa asome kutoka kwa watu wake.WATCH IT...

Na hii ndio video mpya ya Joh Makini, unaambiwa imefanywa Kigamboni kwa asilimia kubwa sana.


       Joh 1Amerudi tena kwenye TV yako na hii new video ya single ya XO ft. G Nako ambapo video yote imefanywa Dar es salaam ambapo Kigamboni imetumika kwa asilimia 70 ambapo 30 nyingine iliyobaki ni maeneo ya karibu na Kigamboni, Joh ameiambia millardayo.com
Ukishaitazama hapa chini usiache kuniandikia lako la moyoni ili Joh akipita usiku aone watu wake wanasema nini kuhusu video.

NEWS: Waigizaji waliopo kwenye orodha A Tanzania akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya

By Nemmy Kim.

Waigizaji waliopo kwenye orodha A Tanzania akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya ya Manaiki iliyopewa jina la Wake Up.
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.
                                        .

NEWS: Picha za mazishi ya msanii Aisha Madinda jana December 19

By Nemmy Kim.

                IMG_1212
Jana ndio siku ambayo yalifanyika mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda katika makaburi ya Kibada, Kigamboni Dar es Salaam baada ya uchunguzi wa postmortem kukamilika katika Hospitali ya Muhimbili.
Watu mbalimbali walijitokeza kumsindikiza msanii huyo kwenye safari yake ya mwisho duniani, unaweza kuona matukio yote kwenye picha hizi.
                IMG_1268
   Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars Entertainment, Asha Baraka  akiwa msibani.

New Music: Madonna f/ Nicki Minaj – ‘Bitch I’m Madonna’

By Nemmy Kim.

Nicki Minaj and Madonna
Madonna made her surprise return to music on Friday night. At the stroke of midnight, the pop icon announced her 13th album Rebel Heart and dropped six tracks including “Unapologetic Bitch,” the Kanye West and Mike Dean-produced “Illuminati,” and “Bitch I’m Madonna,” on which she reunites with Nicki Minaj.
Over the spastic beat, the Material Girl shows who’s the boss, while Nicki unleashes a ferocious flow: “It’s that go hard or go home zone / Bitch, I’m Madonna, these hoes know.”
The two previously collaborated on Madge’s MDNA single “Give Me All Your Luvin’” and performed together at the 2012 Super Bowl halftime show.
Madonna decided to release the six tracks now in response to the unfinished leaks earlier in the week.
“I was hoping to release my new single ‘Living for Love’ on Valentine’s Day with the rest of the album coming in the spring,” she said. “I would prefer my fans to hear completed versions of some of the songs instead of the incomplete tracks that are circulating. Please consider these six songs as an early Christmas gift.”
You can pre-order Rebel Heart now on iTunes and receive the six tracks. Additional music will be released on February 9, with the full album on March 10 featuring production from Kanye, Diplo, and Billboard.

NEWS: Nicki Minaj Presents ‘The Pinkprint’ Movie

By Nemmy Kim.

Nicki Minaj
After a busy week of promo, Nicki Minaj caps it off with the debut of her very own film, The Pinkprint. The rap queen shows off her acting chops in the dramatic and emotional 16-minute docu-short, which was inspired by her third album and features tracks including “The Crying Game,” “All Things Go,” and “Grand Piano.”
 Nicki bring the drama in her mini movie.