Pages

Thursday, January 22, 2015

New Music: Iz Vato. FT.Jafere & Ibra Da Hustler.

By Nemmy Kim.

                         Iz Vato
Muunganiko wa wasanii kutoka Kaskazini mwa Tanzania Arusha ,Nazungumzia Iz Vato kutoka Vatoloco Gangz akiwa amewashirikisha Jafedere na member wa kundi la Nako 2 Nako "Ibra Da Hustler"  kwa Siku ya leo wametoa  wimbo wao mpya unaoitwa" Arachuga" Umezungumzia mambo mbalimbali yanayopatikana jiji la Arusha pamoja na maisha halisi ya wakazi wa arusha Tz, NA wimbo huo ukiwa umetengenezwa na @Defxtro Dx chini ya studio za NOIZ MAKER production...Unaweza kuu-download kwa kuandika Iz Vato-Arachuga...

No comments:

Post a Comment