News:Mwanamuziki kutoka kaskazini mwa Tanzania anayeitwa Dyso Gang kawafahamisha mashabiki wake namna ya kupata Nyimbo zake.
By Nemmy Kim.


Kwa watanzania na wadau wa mziki unaweza kusapot mwanahi hop huyu kutoka Northern zone Tanzania , Anayeitwa Dyso Gang......Namna ya kupata track yake Bofya hapa.... https://mkito.com/artist-profile/dyso-gang/938 Hii ndio link unaeza pata maujanja ya town hembu bofya upate ladha halisi ya kitanzania.Fanya hivyo kwa kusupport mziki wa nyumbani.
Follow @dysogang
No comments:
Post a Comment