News;Wasanii kutoka kaskazini mwa Tanzania wanategemea kuliteka soko la mziki ifikapo kwa February 2015
By Nemmy Kim.


Wanamuziki kutoka kaskazini mwa Tanzania wanaokwenda kwa jina la Team Kwiioo wakiwa wamemshirikisha Ayler na J.Deal wanategemea kutoa nyimbo yao mpya unaoitwa Amercan Girl, siku ya tarehe 7 Februar. Wimbo ukiwa umetayarishwa na Deon Beatz chini ya studio za DM records.
No comments:
Post a Comment