By Nemmy Kim.
Mwanamziki kutoka Arusha Tanzania, Anayeitwa King Boy Anayeimba miondoko ya Afro Pop Ametoa wimbo wake mpya uitwao NISONGE NAWEWE aliyomshirikisha Paradise na Ziz Infinity...
Unaweza kuudownload ana kushare kupitia mkito.com...Bofya HAPA https://mkito.com/song/nisonge-na-wewe-ft-paradise-ziz-infinity/12431 kupakua wimbo wa KingBoy ft Paradise & Ziz Infinity kwa jina "Nisonge Na Wewe"
No comments:
Post a Comment