Wanamuziki waliotajwa kutumbuiza katika Tuzo za American Music Awards kwa Mwaka 216
wametangazwa ikiwa ni pamoja na Nicki Minaji na Ariana Grend watatumbuiza wimbo wa Side to side, Pia Wanamuziki wengine ni , Rick Rose, The Weeknd, August Alsina, Future, Kendrick Lamar, Maroon 5, John Legend na Bruno Mars.
Ikiwa Ni pamoja na Dj Khaled atatumbuiza Wimbo wa "Do You Mind" na wasanii aliyo washirikisha katika wimbo huo unaoshikilia nafasi ya 39 katika chati/ Orodha ya nyimbo 100 za billboard.
DJ Khaled turned the American Music Awards into another Major celebration.
Performing “Do You Mind” with an all-star cast that included Nicki Minaj, Future, Rick Ross, and August Alsina, Khaled acted as a musical maestro and hype man.
No comments:
Post a Comment