Pages

Tuesday, November 22, 2016

NEWS; RAFIKI ANAPOGEUKA ADUI NI BIFU KUBWA KATI YA Diamond na Ommy Dimpoz wakirushiana vijembe vya aibu Instagram

By Nemmy Kim.


 Baada ya Rich Mavoko na Diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya Kokoro
tuhuma za meneja wao, Sallam kuzima mic wakati Alikiba anatumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Rocks mwezi uliopita na post ya Diamond kuwa ‘Kushindana na Wasio Jua Raha sana hahahahahaham #Hawatoweza, Ommy Dimpoz amejibu.


Ommy Dimpoz amejibu kwa kuandika:
Wazee Wa Kupanik Mbona Kama Povuuu Linawatoka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #TeamMzikiMzuri VS #TeamUjanjaUjanja
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu๐Ÿ˜‚
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo๐Ÿ˜‚
Kwenye post hiyo Ommy ametupa shutuma kwa Diamond kuwa hununua views Youtube na kwamba hufanya muziki wa ujanja ujanja.
Diamond alijibu kwa post iliyobeba tuhuma nzito kwa Ommy Dimpoz.
“Mtoto wa Kiume kumchukia Mwanaume Mwenzio kisa Kakataa kukupumulia nayo ni #KOKORO.”
Kupumuliwa ni msemo wa mtaani unaomanisha mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbilie. Kwa miaka takriban miwili sasa Diamond na Ommy Dimpoz waliowahi kuwa maswahiba hawaelewani.

No comments:

Post a Comment