Pages

Sunday, December 4, 2016

News; Iz Vato, Mwahip hop chipukizi pekee aliyefanya collabo na Geez Mabovu kabla ya kifo chake, Kwa sasa amekuja na wimbo mpya "Mbogo" kutoka Wanene Entertainment.

By Nemmy Kim.

Mwanahip hop Iz Vato ambaye ni Member wa kundi la Vatoloco Juniour Kutoka jijini Arusha,  Aliyewahi kufanya wimbo na Geez Mabovu unaoitwa "We are born solder"
Kwa sasa  Ametoa wimbo mpya unaoitwa "Mbogo"
Uliotengenezwa chini ya studio za "Wanene Entertainment" iliyoko Dar es salaam.
Ndani ya track hiyo katumia lugha tofauti tofauti ikiwemo "Kibena", Kiswahili na kingereza.

Mwanahip huyo Iz Vato Akiongea na Wamilazoblog" amesema kuwa
"Kuna mahali nimeimba kiluga hapo hicho ni kibena nikasema tulipamwinga twigenda, hutema wulasi hungunda, hudesi uvezage nogwa, avadala visaha masendi,vadada huhuma lukela sindikela,visagala vana vadodo twitova hela viboho. Maana yake tuko pamoja tunaenda kugema ulanzi uongo ndio unaanzishaga migogoro na mamanzi ckuiZi wengi wanataka hela na wengi wanaviburi toka asubuhi. Alafu hawa watoto ni wadogo na Sisi tunawachapa tu viboko"

No comments:

Post a Comment