Pages

Saturday, April 15, 2017

EDDY KENZO APATA SHAVU KWA FRENCH MONTANA.

By Nemmy Kim.


Hitmaker wa Sitya Loss, Eddy Kenzo alisaini makubaliano na star wa Marekani, French Montana

Wednesday, March 29, 2017

New Music; Datty Datty_Kama mama

By Nemmy Kim.
Msanii chipukizi anayeitwa Datty Datty ,  Anaumri wa miaka 17  anaimba singeli,  na ni wimbo aliyouimba kwa  kuwa na mapenzi  kwa mama yake baada ya baba yake kutelekeza familia na kumuacha na mama yake. 

Msanii huyo chipukizi wa bongo flavor anayeitwa Datty Datty ametoa wimbo mpya aina ya singeli unaoitwa Kama Mama" .

Sunday, March 19, 2017

Video: Jason Derulo Ft Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla

By Nemmy Kim.

Msanii Jason Derulo ameachia video mpya akiwa wimbo unaitwa “Swalla”, amewashirikisha Nicki Minaj na rapper Ty Dolla $ign, Director wa video ni Gil Green ,

Video: Professor Jay – Kibabe

By Nemmy Kim.

Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”. Video imeongozwa na Hanscana.

New Video: Barakah The Prince – Acha Niende

By Nemmy Kim.

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende.

New Video: Orezi f/ Vanessa Mdee – Just Like That

By Nemmy Kim.

Msanii wa Nigeria, Orezi ameshirikiana na Vanessa Mdee kwenye wimbo huo wa moto uitwao Just Like That. Video imeongozwa na Sesan

New Video: Jay Moe – Nisaidie Kushare

By Nemmy Kim.


Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa KWETU STUDIOS.