Tuzo za Billboard Awards Zimepanga msanii atakaye fungua show ni mwanadada NICKI MINAJ Ambapo atatumbuiza nyimbo zake na alizoshirikishwa zinazofanya vizuri ikiwemo wimbo wa "Swalla" Akiwa na JASON DERULO, "Light My body Up" akiwa na David Gueta na Lil Wayne live katika jukwaa moja.
Chris Brown Amewapa-Surprise mashabiki wake baada ya kutangaza Kendrick Lamar Kuja Jukwaani Katika show iliyofanyika Anaheim, California siku ya Jumanne (May 16).
Msanii wa Bongo flavor ambaye Alishiriki Tuzo za "East Africa Television Awards mwaka 2016 Anayeitwa Bright Ametoa wimbo mpya unaitwa Umebadilika Amemshirikisha Nandy Collabo ya wasanii hao