By Nemmy Kim.
Rapa Meek Mill baada ya Kutoa wimbo wake wa "Glow Up" anategemea Kutoa Album yake mpya ya Tatu,
Boss wa label ya" MMG" Rick Ross kupitia mtandao wa snaptchat ametangaza jina la Album ya Meek Mill itaitwa "WINS and LOSSES"
By Nemmy Kim.
Ni Mda mrefu umepitia Wanamuziki wakongwe katika mziki wa Marekani hawajawahi kusikika katika wimbo mmoja Lakini Miss Elliott amefanikisha hilo katika remix ya wimbo wake mpya "I'm better" kwa kuwakutanisha pamoja Rapa Eve, Lil Kim na Trina,
By Nemmy Kim.
T.I Yuko studio kumalizia Album yake mpya ya 10 itakayokwenda kwa jina la "Dime Trap" itakayoingia sokoni mwaka huu, miongoni mwa wasanii aliyowashirikisha ni Trey songz katika wimbo wa "The Lady Killers"
By Nemmy Kim.
Ma'dancer wa Uganda Ghetto Kids Kulipwa mkwanja mrefu na uongozi wa Wizkid ili wacheze video ya come Closer "Aliyomshirikisha " Drake"
By Nemmy Kim.
Tuzo za Billboard Awards Zimepanga msanii atakaye fungua show ni mwanadada NICKI MINAJ Ambapo atatumbuiza nyimbo zake na alizoshirikishwa zinazofanya vizuri ikiwemo wimbo wa "Swalla" Akiwa na JASON DERULO, "Light My body Up" akiwa na David Gueta na Lil Wayne live katika jukwaa moja.
By Nemmy Kim.
Beyoncé na Jay Z wametangazwa ndio wanandoa matajiri zaidi dunia ambao ni Wanamuziki wenye dollar za kimarekani billion 1.16 Kupitia jarida la Forbes.
By Nemmy Kim.
Rapa SNOOP DOGG amewataja Wana'hipHop wake bora anaopendelea kuwasikiliza Kila mara kupitia kipindi cha Kimmel Live"