Pages

Saturday, February 7, 2015

NEWS;Baadhi ya wasanii ambao wameshiriki katika Tunzo za Grammy 8 Feb KATIKA MSIMU WA 57 Toka Tunzo hizo zilivyoanzishwa,,Ni Pamoja na Beyonce, Kanye West, Jay Z,John Legend na wengine wengi

By Nemmy Kim.

From Beyoncé to Michael Bolton, the stars showed up and showed out at Roc Nation and Three Six Zero’s annual pre-Grammy brunch held at a private residence in Beverly Hills on Saturday. Hip-hop moguls, pop divas, and Fortune 500 executives rubbed shoulders at the lavish soirée, which has become one of the hottest tickets of Grammy weekend.Willow Smith, Beyoncé, and Jay ZAfter rehearsals for her Grammy performance, Rihanna—clad in a Altuzarra floral-print skirt and bra and white cardigan—caught up with her Roc Nation fam.
Kanye West and Kim Kardashian made a fashionable entrance of their own. Kim donned a red crop top and floor-length skirt while debuting her new short hair. But all eyes were on Mr. West and his new adidas Yeezus Boost sneakers, which he wore for the first time in public. 
Kanye West and Jay ZBeyoncé was stunning in a black Alexandre Vauthier jumpsuit as she celebrated with her husband before dashing off to Grammy rehearsals, while Mr. Carter popped bottles of Ace of Spades with Yeezy, Nas, Steve Stoute, and New England Patriots owner Robert Kraft. 
Kelly Rowland was gorgeous in a white pantsuit as she stepped out for the first time since giving birth to her son Titan, and Nicki Minaj kept it colorful with her blonde hair and orange coat (we see you Meek Mill).
New couple Sevyn Streeter and B.o.B cozied up, Smith siblings Willow and Jaden were matching in black, and the newly-engaged Adrienne Bailon showed off her diamond ring.
The guest list also included Big Sean, J. Cole, Miguel, Jhené Aiko, Fabolous, Jazmine Sullivan, Kylie Minogue, and YG.

NEWS:Msanii wa bongo Fleva "Mondo Kaya" anayeibukia kwa kasi katika ramani ya muziki Tanzania...Anatarajia kufanya kazi na moja kati ya ma-producer bora wa Bongo Fleva

By Nemmy Kim.

Mwanamuziki wa kizazi kipya "Bongo Flavour" anayekwenda kwa jina la Mondo Kaya baada ya Nyimbo yake yenye mahudhui ya kimapenzi kuweza kufanya vizuri haswa kwa kanda ya kaskazini mwa Tanzania...
                
Kwa hivi sasa akiongea na Wamilazo.blog Amesema amejipanga kuweza kufanya wimbo mpya na moja kati ya ma-producer wanaofanya vizuri kikazi katika jiji la Arusha  na Pia Mondo Kaya Amewataka mashabiki wake wakae Tayari kwa huo wimbo wake mpya na video ambayo Ameahidi kuitoa  mapema iwezekanavyo.

New Video:Fido Vato Ft Bou Nako, Guru Gangukoo, Lavosti & Nazizi_Fearless

By Nemmy Kim.

Wakati muziki wa Tanzania ukizidi kupiga Hatua zaidi kwa ubora wa kazi za wasanii , Pia kuongeza ushirikiano baina ya wasanii  yani kupiga collabo na wasanii wa nje ya Tanzania ...Hii hapa ni video wimbo mpya unaoitwa Fearless  Ambapo ndani utamuona Fido Vato, Bou Nako, Guru Gangukoo, Lavosti na Nazizi kutoka Kenya.....                         
                           Photo: Video ya wimbo mpya unaoitwa Fearless kutoka kwa @fidovato wa   Vato Gonzalez akiwa amewashirikisha@bounakojembe  @nazizihirji @gurugangukoo  @lavosti & Bofya HAPA http://youtu.be/RUCCf7U3sLY kutazama video ya Fearless akiwemo FidoVato GuruGang Lavosti Nazizi & BouNako na Pakua Audio HAPA https://mkito.com/song/fearless-ft-nazizi-guru-gang-bou-nako-lavosti/12885 kwa hisani ya @wanene_ent na video directed by @hanscanaNa director wa video hiyo ni yule director aliyetabiriwa na Director maarufu Africa kutoka Kenya Bosco aliyewahi kusema Hanscana ni Director bora kuliko hata hawa watu wanaowajua zaidi yani Adam Juma na Nisher.... @fidovato @bounakojembe @nazizihirji @gurugangukoo @lavosti & Bofya HAPA http://youtu.be/RUCCf7U3sLY kutazama video ya Fearless akiwemo FidoVato GuruGang Lavosti Nazizi & BouNako na Pakua Audio HAPA https://mkito.com/song/fearless-ft-nazizi-guru-gang-bou-nako-lavosti/12885 kwa hisani ya @wanene_ent na video directed by @hanscana.

New Music:Kingboy Ft Paradise & Ziz Infinity_Nisonge Nawewe.

By Nemmy Kim.

Mwanamziki kutoka Arusha Tanzania, Anayeitwa King Boy Anayeimba miondoko ya Afro Pop Ametoa wimbo wake mpya uitwao NISONGE NAWEWE aliyomshirikisha Paradise na Ziz Infinity...
                        Photo: Mwanamziki kutoka Arusha Tanzania anayeimba miondoko ya Afro Pop Ametoa wimbo wake mpya uitwao NISONGE NAWEWE aliyomshirikisha Paradise na Ziz Infinity...unaweza kuudownload ana kushare kupitia mkito.com...Bofya HAPA https://mkito.com/song/nisonge-na-wewe-ft-paradise-ziz-infinity/12431 kupakua wimbo wa KingBoy ft Paradise & Ziz Infinity kwa jina "Nisonge Na Wewe"
Unaweza kuudownload ana kushare kupitia mkito.com...Bofya HAPA https://mkito.com/song/nisonge-na-wewe-ft-paradise-ziz-infinity/12431 kupakua wimbo wa KingBoy ft Paradise & Ziz Infinity kwa jina "Nisonge Na Wewe"

NEWS;Kama ulikuwa Haufahamu,,Sasa hii ndio List ya Nyimbo Bora 20 zilizofanya Vizuri kwa wiki hii..!!

By Nemmy Kim.

Hii ndio List ya Nyimbo bora 20 zalizofanya vizuri kwa wiki hii {WORLD'S TOP 20 BEST SINGLES OF THE WEEK}
1. Uptown Funk! - Mark Ronson feat. Bruno Mars
2. Thinking Out Loud - Ed Sheeran
3. Take Me To Church - Hozier
4. Blank Space - Taylor Swift ...
5. Lips Are Movin' - Meghan Trainor
6. FourFiveSeconds - Rihanna / Kanye West / Paul McCartney
7. Sugar - Maroon 5
8. I'm Not The Only One - SAM SMITH
9 Shake It Off - Taylor Swift
10. Love Me Like You Do - Ellie Goulding
11. Outside - Calvin Harris feat. Ellie Goulding
12. All About That Bass - Meghan Trainor
13. Dangerous - David Guetta feat. Sam Martin Music
14. Stay With Me - Sam Smith
15. Animals - Maroon 5
16. Love Me Harder - Ariana Grande feat. The Weeknd
17. Cheerleader (Felix Jaehn Remix) - Omi
18. Prayer In C (Robin Schulz Remix) - Lilly Wood & The Prick
19. Elastic Heart - Sia
20. Time Of Our Lives - Pitbull & Ne-Yo

....Accordind To {World Music Awards}

NEWS;Mwanahip hop kutoka Arusha Tanzania anatarajia kufanya uzinduzi wa Album yake...!!!

By Nemmy Kim.

Hitmaker wa wimbo wa Arusha Anthem anayeitwa Dela P , Baada ya kuingiza Album yake mpya sokoni mwaka 2015. anategemea kufanya uzinduzi wa Album hiyo Tarehe 13 Febuary 2015 .Album hiyo mpya kutoka kwa Mwanahip hop Dela P amewashirikisha wanamziki tofauti tofauti kutoka Tanzania.
Siku ya uzinduzi wa Album hiyo atasindikizwa na ma-Mc's tofauti tofauti kutoka Arusha, akiwemo msanii mkongwe wa Hip hop Tanzania Chindo man...Uzinduzi huo utafanyika katika Club Via Via kwanzia saa 12 hadi saa 4 usiku kwa kiingilio cha shilingi Elfu Tano (5000/=)..Dela P amewataka wapenda hip hop  wote na wapenda mziki mzuri kukaribia kwenye Uzinduzi wa Album Mpyaaaa!!! 




Friday, February 6, 2015

NEWS: Siku 6 za Bobbi Kristina akiwa ICU, haya ndio majibu ya madaktari…

By Nemmy Kim.

Mwisho wa wiki iliyopita Bobbi Kristina ambaye ni mtoto pekee wa marehemu mwanamuziki wa Marekani Whitney Houston alianguka bafuni na kukimbizwa hospitali huku hali yake ikielezwa kuwa ni mbaya na kupelekwa Hospitali kwenye chumba cha uangalizi maalumu, ICU.
 krist
Bobbi Kristina.
Imeelezwa kuwa hadi sasa hali yake bado ni mbaya na madaktari wanaomuuguza katika hospitali ya Emory University wamepoteza matumaini na sasa wanaiachia familia yake hatma ya maisha yake.
with ddy
Bobbi Kristina akiwa na baba yake, Bobby Brown.
Chanzo cha habari karibu na familia hiyo kimedai kuwa hatma ya mtoto huyo iko mikononi mwa familia yake ambayo itatoa uamuzi kama atolewe mashine zinazomsaidia kupumua au la, japo msemaji wa familia amekanusha kwamba hakuna ukweli kwenye uvumi huo.
Baba yake Bobbi ambaye ni Bobby Brown ana imani mtoto wake atapona kwa kuwa katika familia yao kuliwahi kuwa na mgonjwa ambaye alikuwa na hali mbaya kwa muda wa siku nane lakini alipona.

NEWS: Shakira ameonyesha picha za mtoto wake aliyejifungua.

By Nemmy Kim.

Ni mara chache kwa mastaa wa kike wa muziki Marekani kuona wakiweka picha za watoto wao mara baada ya kutoka kujifungua
                          sasha
.
Imewachukua muda mrefu mastaa kama Kim Kardashian, Beyonce, Kelly Rowland na wengine kuonyesha watoto wao wakiwa bado wachanga lakini kwa Shakira na mume wake Gerard Pique imekuwa tofauti kwani ni wiki moja tungu wapate ugeni katika familia yao na wameamua kuonyesha picha za mtoto wao.
                   


 sasha 2Katika picha hiyo wawili hao waliandika kuwa wanafuraha kubwa kumkaribisha mtoto wa pili Sasha katika familia yao na kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwatakia heri.