Pages

Wednesday, July 8, 2015

BAADA YA SISTER P NA RAPII NI ZAMU YA MWANADADA "HD.

By Eva godchance

Rapa wa kike anayechipukia kwenye mziki wa bongofleva Hd kutokea Arusha Ni moja kati ya wasanii ambao wanandoto ya kuziba mapengo ya rapa wakike waliokuja na kupotea.