Pages

Friday, August 12, 2016

NEW MUSIC: ALICIA KEYS FEAT. KANYE WEST & TRAVIS SCOTT – ‘IN COMMON (REMIX)’

By Nemmy Kim.
Mwanamuziki Alicia Keys ametoa remix ya wimbo unaoitwa "In Common" Akiwa amemshirikisha Kanye West na Travis Scott.

NEWS; Christian Bella kuja na CB Records

By Nemmy Kim.

Pamoja na kuwa na bendi ya Malaika, Christian Bella amedai kuwa atafungua studio yake mwenyewe na record label iitwayo CB Records.

NEW MUSIC: USHER FEAT. TRAVIS SCOTT – ‘NO LIMIT (REMIX)’

By Nemmy Kim.
Isikilize kupitia Link hii hapa 👇👇
USHER FEAT. TRAVIS SCOTT – ‘NO LIMIT (REMIX)’

Video; Tinashe_SuperLove

By Nemmy Kim.
Itazame hiyo video hapa..👇👇👇

NEWS; Kidogo ya Diamond yaingia kwenye playlist ya Radio 1Xtra ya UK

By Nemmy Kim.

Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo cha redio cha BBC Radio 1Xtra.

NEWS; Mzee Yusuf atangaza kuachana na muziki

By Nemmy Kim.

Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf, ametangaza kuachana na muziki.

NEWS; Jhene Aiko aomba talaka kwa mumewe, ni baada ya ukaribu na Big Sean kuzidi

By NemmyKim.

Muimbaji wa Marekani, Jhene Aiko ameomba talaka kwa mume wake mtayarishaji wa muziki Dot da Genius.

Wednesday, August 10, 2016

NEWS; Q Chief afanya video na Justin Campos, wimbo unaitwa ‘Sungura’

By Nemmy Kim.
Baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa, Q Chief amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula karibu na TV zao kungojea video yake mpya.

NEWS; Linex aeleza kinachokwamisha kufanyika kwa video ya wimbo ‘Hewala’ alioshirikiana na Bella

By Nemmy Kim.

Msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda amefunguka kwa kusema kuwa wimbo ‘Hewala’ haujafanya vizuri zaidi kutokana na kuchelewa kwa video ya wimbo huo.

NEWS; Waziri wa Magufuli ataka alipwe bilioni moja na gazeti la Mseto

By NemmyKim.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilingi bilioni moja kwa kosa la kuandika habari iliyomchafua.

Video: Majumba 10 ya kifahari zaidi ya rappers wa Marekani 2016

By NemmyKim.
Top 10 ya nyumba kali za mastaa wa Hip Hop Marekani pamoja na thamani za nyumba hizo kwa mwaka 2016 hii imetolewa na mtandao wa Hot List. Rappers hao ni pamoja na Jay Z, Kanye West, Will Smith, Eminem, Birdman,50 Cent na wengine. Angalia orodha hiyo hapa.

Monday, August 8, 2016

NEWS: Defao azuiliwa kwa kushindwa kulipa bili ya hoteli Mombasa, Jaguar ajitolea kumlipia

By Nemmy Kim.

Muimbaji wa Kenya, Charles Njagua Kanyi, maarufu kama Jaguar, alijitokeza kusaidia kulipa deni alilokuwa akidaiwa muimbaji mkongwe wa DRC, Defao kwenye hoteli ya Mombasa, Kenya alikokuwa ameshikiliwa Jumamosi.

NEWS: Waziri Nchemba atangaza kuwasaka wauza unga ‘hili linatuchafua sana’

By Nemmy Kim.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa maofisa wanaohusika na udhibiti wa dawa za kulevya kwenye mpaka wa Tunduma mkoa wa Songwe, kuwakamata watu wanaohusika na uvushaji wa dawa hizo kutoka nchini kwenda nchi jirani ya Zambia na nyingine zilizopo ukanda huo.

NEWS: Mfalme Akihito wa Japan aomba kung’atuka

By Nemmy Kim.

Mfalme wa Japan Akihito ameeleza mapenzi yake ya kutaka kung'atuka.