Pages

Saturday, August 6, 2016

Music: Christian Bella – Nishike

By Nemmy Kim.
Mfalme wa masauti Christian Bella baada ya kuachia Audio iliyotengenezwa na producer "Abby Daddy" , Unaoitwa "Nishike" , Hii ni Video ya wimbo huo.

Video: Britney Spears ft. G-Eazy – Make Me

By Nemmy Kim.

NEWS: Olimpiki Rio 2016: Ginny Thrasher ajishindia dhahabu Rio

By Nemmy Kim.

Mmarekani Ginny Thrasher amekuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Rio baada ya kutwaa ushindi katika shindano la kulenga shahaba kwa bunduki kutoka mita 10 upande wa wanawake.

NEWS: Umeme wazimika kote nchini Kenya

By Nemmy Kim.

Sehemu nyingi nchini Kenya zimekumbwa na ukosefu wa umeme asubuhi ya leo Jumamosi.

NEWS: Trump awaidhinisha mahasimu wake wa Republican

By Nemmy Kim.

Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump amechukua hatua ya kuboresha uhusiano na uongozi wa chama cha Republican kwa kumuidhinisha spika wa bunge la waakilishi Paul Ryan.

Wednesday, August 3, 2016

Kanye West na Drake kuja na album ya pamoja

By Nemmy Kim.

​Kanye West na Drake huenda wakatoa album ya pamoja siku za usoni.

Iggy Azalea: Sina uhusiano na French Montana

By Nemmy Kim.

Wiki iliyopita rapper Iggy Azalea na French Montana walionekana pamoja huko jijini Las Vegas, walikohudhuria show ya Jennifer Lopez, Caesar’s Palace na kisha kula bata pamoja hadi asubuhi.

Tuesday, August 2, 2016

NEWS: Kampeni zaanza kupamba moto Marekani

By Nemmy Kim.


Watu wenye ushawishi pamoja na wanasiasa maarufu nchini Marekani kutoka katika bunge la Congress na chama cha Republican wametoa matamko yao kuwa hawatampa kura zao mgombea wa nafasi ya urais Donald Trump, wakisema kwamba mgombea huyo hatoshi kwa nafasi hiyo nyeti ulimwenguni.

ViDEO: Tiwa Savage ft. Wizkid_Bad

By Nemmy Kim.


Tiwa Savage ametoa Video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Bad" Akiwa Amemshirikisha Wizkid, Video hiyo imetoka baada ya habari zilizosambaa takribani mwenzi mzima kuwa mwanadada huyo kutoka Nigeria amesainiwa na Amepeta mkataba na Lebo ya Jay Z , ROC Nation.

NEWS: Je lazima bi harusi alipwe kwa dhahabu ?

By Nemmy Kim.


Kampeni imezuka nchini Misri dhidi ya desturi ya kuwazawadia mabibi harusi dhahabu chungu nzima wakati wa harusi zao.

NEWS: Je,wayajua majukumu mengine ya wanariadha wa Kenya?

By Nemmy Kim.

Uwanjani wanariadha wa Kenya wamekuwa wakililetea taifa hilo medali, lakini unafahamu kuwa wanariadha hao hutumia mda wao mwingine kulihudumia taifa la Kenya?

NEWS: Miss World Kenya apokonywa taji lake.

By Nemmy Kim.

Aliyekuwa mshindi wa tuzo la Miss World Kenya 2016 , Roshanara Ebrahim, amepokonywa taji lake baada ya kukumbwa na sakata .

NEWS: Trump asema Hillary Clinton ni 'shetani'

by Nemmy Kim.

Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa 'shetani'.