Pages

Friday, February 17, 2017

VIDEO: KID INK FEAT. 2 CHAINZ – ‘SWISH’

By Nemmy Kim.

Wimbo mpya kutoka kwa kid Ink akiwa amemshirikisha 2chainz unaitwa Swish. Na pia 2chainz Anatarajia kutoa Album yake mpya itayokwenda kwa jina la "Pretty Girls Like Trap Music" ifikapo April 7 mwaka 2017.

Thursday, February 16, 2017

NEW MUSIC: TREY SONGZ – ‘NOBODY ELSE BUT YOU’

By Nemmy Kim.

Treysongz Baada ya kufanya vizuri na Album yake ya Trigga aliyotoa March mwaka 2014 , kwasasa Wimbo wa "Nobody else but You" ndiyo ya kwanza aliyoutoa rasmi leo Feb 16 ,

Wednesday, February 15, 2017

NEW MUSIC; MAROON 5 FT FUTURE_COLD

By Nemmy Kim.

Maroon 5 adondosha wimbo mpya "Cold" baada ya kufanya vizuri hadi kuweza kuingia kwenye top 10 ya chati kubwa za kimuziki duniani na wimbo wake wa Don't wanna Know aliomshirikisha Kendrick Lamar.

Monday, February 13, 2017

NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KATIKA GRAMMY NA KUI' DEDICATES KWA BEYONCE

By Nemmy Kim

Mwanamuziki Adele ajishindia Tuzo tano huku Beyonce akiondoka na Tuzo mbili katika Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani siku ya jumapili.

Sunday, February 12, 2017

NEWS; CHANCE THE RAPPER ASHINDA TUZO ZA GRAMMY

By Nemmy Kim.

Rapa kutoka Chicago Chance The Rapa ashinda Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani tarehe 12 February 2017,