Pages

Saturday, July 9, 2016

New Video: Meda Classic_Alele

By Nemmy Kim.

 Msanii wa bongo fleva ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao Alele.

Simu milioni 10 za Android zaathiriwa na kirusi

By Nemmy Kim.

Hadi simu milioni 10 aina ya Android zimeambukizwa virusi vinavyotoa Clicks bandia kwa ajili ya matangazo kulingana na watafiti.

SIASA; Wanajeshi wengi wadaiwa kuuawa Sudan Kusini

By Nemmy Kim.

Taarifa kutoka Sudan Kusini zinasema mamia ya watu, wengi wao wakiwa ni wanajeshi wameuawa katika mapambano baina ya vikosi vyenye uhasama katika mji mkuu wa Juba.

SIASA: Marekani yawatimua wajumbe wa Urusi

By Nemmy Kim.

Imebainika kuwa Marekani iliwafukuza maafisa wawili wa Urusi mwezi uliopita kufuatia kushambuliwa kwa mwandiplomasia wa Marekani mjini Moscow.