Pages

Tuesday, May 26, 2015

NEWS: Songa atangaza Ujio wa Album mpya

By Evagochance.



Rapa kutoka kundi la Tamaduni music na heatmaker wa wimbo wa “Chini ya Ulinzi’ Songa ambaye sasa anayo wimbo wake mpya unaoitwa ‘juu kwa juu’ ameelezea sababu za kuchelewa kwa video

NEWS:HAYA APA MAANDALIZI YA KICHUPA CHA MEDA CLASSIC CHA ''KONGOI"

By Eva Godchance.

Mwanamuziki wa Bongo fleva mwenye ndoto za kimataifa Meda Classic ameongea na mashabiki wa ke wakae tayari kwaajili ya video yake mpya 
inyokwenda kwa jina la KONGOI,