Pages

Friday, July 31, 2015

BASATA adhabu hii kwa Shilole ni kubwa mno

By eva godchance


Baraza la Sanaa la taifa, BASATA limekuwa
mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa
shughuli za sanaa zinaenda katika mstari
unaotakiwa.