Pages

Wednesday, June 21, 2017

NEWS; MA'DANCER WA UGANDA GHETTO KIDS KUNG'ARA NA FRENCH MONTANA KATIKA JUKWAA LA TUZO ZA BET JUNE 25,

By Nemmy Kim

Ma'dancer wa Uganda Ghetto Kids wamedondokewa na donge nono nchini Marekani  la kuweza kuonekana Wakitumbuiza kwa mara ya kwanza Katika jukwaa moja na French Montana.

Thursday, May 25, 2017

NEWS; RICK ROSS ATANGAZA JINA LA ALBUM MPYA YA MEEK MILL

By Nemmy Kim. 
Rapa Meek Mill baada ya Kutoa wimbo wake wa "Glow Up" anategemea Kutoa Album yake mpya ya Tatu, 
Boss wa label  ya" MMG" Rick Ross kupitia mtandao wa snaptchat  ametangaza jina la Album ya Meek Mill itaitwa "WINS and LOSSES" 

Wednesday, May 24, 2017

VIDEO: MISS ELLIOTT FT EVE, LIL KIM AND TRINA_ I'M BETTER "

By Nemmy Kim. 
Ni Mda mrefu umepitia Wanamuziki wakongwe katika mziki wa Marekani hawajawahi kusikika katika wimbo mmoja Lakini Miss Elliott amefanikisha hilo katika remix ya wimbo wake mpya "I'm better"  kwa kuwakutanisha pamoja Rapa Eve, Lil Kim na  Trina, 

Tuesday, May 23, 2017

NEWS: T. I ANATEGEMEA KUACHIA WIMBO ALIYOMSHIRIKISHA TREY SONGZ.

By Nemmy Kim.


T.I Yuko studio kumalizia Album yake mpya ya 10 itakayokwenda kwa jina la "Dime Trap" itakayoingia sokoni mwaka huu, miongoni mwa wasanii aliyowashirikisha ni Trey songz katika wimbo wa "The Lady Killers"

Friday, May 19, 2017

Thursday, May 18, 2017

NEWS: NICKI MINAJ KUFUNGUA SHOW YA TUZO ZA BILLBOARD MUSIC AWARDS AKIWA NA JASON DERULO, LIL WAYNE NA DAVID GUETA.

By Nemmy Kim. 

Tuzo za Billboard Awards Zimepanga msanii atakaye fungua show ni mwanadada NICKI MINAJ Ambapo atatumbuiza nyimbo zake na alizoshirikishwa zinazofanya vizuri  ikiwemo wimbo wa "Swalla"  Akiwa na JASON DERULO, "Light My body Up" akiwa na David Gueta na Lil Wayne live katika jukwaa moja.

NEWS:Jay Z na Beyonce ni couple wanamiliki utajiri wa dollar bill. 1.16

By Nemmy Kim.

Beyoncé na Jay Z wametangazwa ndio wanandoa matajiri zaidi dunia  ambao ni Wanamuziki wenye dollar za kimarekani billion 1.16 Kupitia jarida la Forbes

Wednesday, May 17, 2017

NEWS: HAWA NDIO RAPA WATATU ANAOWAPENDELEA KUWASIKILIZA SNOOP DOGG '

By Nemmy Kim

Rapa SNOOP DOGG amewataja Wana'hipHop wake bora anaopendelea kuwasikiliza Kila mara kupitia kipindi cha Kimmel Live

NEWS : CHRIS BROWN AMDONDOSHA KENDRICK LAMAR KATIKA SHOW YAKE YA CALIFORNIA "PART TOUR"

By Nemmy Kim.
Chris Brown Amewapa-Surprise mashabiki wake baada ya kutangaza Kendrick Lamar Kuja Jukwaani Katika show iliyofanyika   Anaheim, California siku ya Jumanne (May 16).

NEW VIDEO : BRIGHT FT NANDY_UMEBADILIKA

By Nemmy Kim. 
Msanii wa Bongo flavor ambaye Alishiriki Tuzo za "East Africa Television Awards mwaka 2016 Anayeitwa  Bright Ametoa wimbo mpya unaitwa Umebadilika  Amemshirikisha Nandy 
Collabo ya wasanii hao

Monday, May 15, 2017

NEW MUSIC: DAR BONGO MASIVE FT CHEGE_NIMECHANGANYIKIWA.

By Nemmy Kim. 

Wasanii wa Bongo flavor wanaounda kundi la "Dar Bongo Masive wametoa wimbo wao mpya wamemshirikisha chege unaitwa "Nimechanganyikiwa"  Umetengenezwa

Tuzo za Bet Zimetoa orodha ya wasanii wanaowania Tuzo hizo.

By Nemmy Kim.
Wanamuziki waowania Tuzo za Bet mwaka 2017 Ambazo zitazotolewa June 25. Hii ni orodha ya Category /vipengele vya Tuzo hizo ;
Kipengele cha Album  bora ya mwaka

NEW MUSIC : KARAVINA_NJAA KALI

By Nemmy Kim. 


Wimbo mpya Kutoka kwa msanii chipukizi wa Bongo flavor Karavina wimbo unaitwa Njaa Kali "  umefanyika

NEW MUSIC: B.O.B FEAT. LIL WAYNE – ‘E.T.’

By Nemmy Kim. 

Baada ya B.O. B Kuachana na Lebo yake ya Atlantic huu ni wimbo wake mpya amemshirikisha Lil Wayne unaitwa "E.T" Wimbo huo utakuwepo kwenye Album yake mpya ya nne ambayo itakuwa

NEW VIDEO ; IGGY AZALEA PREVIEWS ‘SWITCH’

By Nemmy Kim.

“Switch” it up! Just days before its official release, Iggy Azalea is previewing her forthcoming single “Switch.”

Saturday, May 6, 2017

NEW VIDEO ; LAMONA_KOLO

By Nemmy Kim

Msanii chipukizi wa Bongo flavor anayeitwa Lamona ameachia Audio na video ya wimbo wake unaoitwa Kolo

Wednesday, April 19, 2017

NEW MUSIC; AMAZING_SHAGHALABAGHALA

By Nemmy Kim.

Ni mara chache sana kusikia wimbo mpya kutoka kwa msanii chipukizi wa Tanzania Ambaye hayupo lebo ya wasafi ,Kwenda kufanya wimbo studio za wasafi record

Saturday, April 15, 2017

EDDY KENZO APATA SHAVU KWA FRENCH MONTANA.

By Nemmy Kim.


Hitmaker wa Sitya Loss, Eddy Kenzo alisaini makubaliano na star wa Marekani, French Montana

Wednesday, March 29, 2017

New Music; Datty Datty_Kama mama

By Nemmy Kim.
Msanii chipukizi anayeitwa Datty Datty ,  Anaumri wa miaka 17  anaimba singeli,  na ni wimbo aliyouimba kwa  kuwa na mapenzi  kwa mama yake baada ya baba yake kutelekeza familia na kumuacha na mama yake. 

Msanii huyo chipukizi wa bongo flavor anayeitwa Datty Datty ametoa wimbo mpya aina ya singeli unaoitwa Kama Mama" .

Sunday, March 19, 2017

Video: Jason Derulo Ft Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla

By Nemmy Kim.

Msanii Jason Derulo ameachia video mpya akiwa wimbo unaitwa “Swalla”, amewashirikisha Nicki Minaj na rapper Ty Dolla $ign, Director wa video ni Gil Green ,

Video: Professor Jay – Kibabe

By Nemmy Kim.

Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”. Video imeongozwa na Hanscana.

New Video: Barakah The Prince – Acha Niende

By Nemmy Kim.

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende.

New Video: Orezi f/ Vanessa Mdee – Just Like That

By Nemmy Kim.

Msanii wa Nigeria, Orezi ameshirikiana na Vanessa Mdee kwenye wimbo huo wa moto uitwao Just Like That. Video imeongozwa na Sesan

New Video: Jay Moe – Nisaidie Kushare

By Nemmy Kim.


Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa KWETU STUDIOS.

Saturday, March 11, 2017

OFFICIAL VIDEO; SAJO MABUSINESS_UMENIDHIBITI.

By Nemmy Kim.


Msanii chipukizi wa bongo flavor Anayeitwa Sajo Mabusiness aliyefanya wimbo unaoitwa "UMENIDHIBITI" kutoka studio za Mr T.touch,

Friday, February 17, 2017

VIDEO: KID INK FEAT. 2 CHAINZ – ‘SWISH’

By Nemmy Kim.

Wimbo mpya kutoka kwa kid Ink akiwa amemshirikisha 2chainz unaitwa Swish. Na pia 2chainz Anatarajia kutoa Album yake mpya itayokwenda kwa jina la "Pretty Girls Like Trap Music" ifikapo April 7 mwaka 2017.

Thursday, February 16, 2017

NEW MUSIC: TREY SONGZ – ‘NOBODY ELSE BUT YOU’

By Nemmy Kim.

Treysongz Baada ya kufanya vizuri na Album yake ya Trigga aliyotoa March mwaka 2014 , kwasasa Wimbo wa "Nobody else but You" ndiyo ya kwanza aliyoutoa rasmi leo Feb 16 ,

Wednesday, February 15, 2017

NEW MUSIC; MAROON 5 FT FUTURE_COLD

By Nemmy Kim.

Maroon 5 adondosha wimbo mpya "Cold" baada ya kufanya vizuri hadi kuweza kuingia kwenye top 10 ya chati kubwa za kimuziki duniani na wimbo wake wa Don't wanna Know aliomshirikisha Kendrick Lamar.

Monday, February 13, 2017

NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KATIKA GRAMMY NA KUI' DEDICATES KWA BEYONCE

By Nemmy Kim

Mwanamuziki Adele ajishindia Tuzo tano huku Beyonce akiondoka na Tuzo mbili katika Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani siku ya jumapili.

Sunday, February 12, 2017

NEWS; CHANCE THE RAPPER ASHINDA TUZO ZA GRAMMY

By Nemmy Kim.

Rapa kutoka Chicago Chance The Rapa ashinda Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani tarehe 12 February 2017, 

Sunday, January 15, 2017

NEWS; Mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na nusu ya watu duniani

By Nemmy Kim.


Utafiti uliofanywa na shirika la Oxfam la Uingereza unaonesha mabilionea wanane wanamiliki mali sawa na mali ya watu 3.6 bilioni kwa pamoja.

Thursday, January 12, 2017

NEWS; BASATA wamesema Diamond amestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa kwajili ya show yake ya ufunguzi wa AFCON 2017

By Nemmy Kim.

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameweka utata katika mitandao ya kijamii kuhusu ni nani anastahili kukabidhiwa bendera ya Taifa ili kuwakilisha nchi, baada ya Diamond Platnumz  kukabidhiwa bendera ya Taifa.

NEW VIDEO: LILIAN INTANET_NISHAWAZIMA

By Nemmy Kim.

Mwanamuziki wa bongo Flavor  Lillian intanet  Ametoa video Yake mpya inayoitwa Nishawazima