Pages

Sunday, March 19, 2017

New Video: Jay Moe – Nisaidie Kushare

By Nemmy Kim.


Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa KWETU STUDIOS.

Itizame video hiyo mpya kutoka kwa Jay moe_Nisaidie Kushare

No comments:

Post a Comment