Pages

Friday, November 15, 2019

NEWS;ALBUM YA TORY LANEZ CHIXTAPE 5 IMETOKA RASMI

By Creator,

Rapa na mwimbaji Tory lanez ametoa Album yake mpya ya Chixtape 5 ikiwa na jumla ya nyimbo 18 miongoni mwa wasanii walioshirikishwa katika album ya chixtape 5 ni pamoja na Lil Wyne, Snoop Dogg, Fabolous The Dream, Jermaine, T-Pain,Mya, Dupri, Ludacris, Chris Brown, Ashant, Trey Song na wengine.

MUSIC VIDEO; TARAASING FT A.P.A-UMENIOKOTA

By Creator.

Ngoma mpya kutoka kwa msanii Taraasing amemshirikisha A.P.A imetengenezwa studio za DM Racord chini ya producer  Dion. Video Imefanywa na director A.P.A akishirikiana na Gud kenny.