Pages

Friday, May 1, 2015

New; Stereo ni miongoni mwa wanamuziki wanaoamini katika uwezo wa ma-director wa Tanzania

By Nemmy Kim.
ukonga-na-ilala-artwork
Heartmaker wa wimbo wa Usione hatari" Stereo aliyokuwa amemshirikisha Ben Pol, Hivi karibuni amedondosha wimbo mpya aliyomshirikisha Chid Benz inayokwenda kwa jina la Ukonga na Ilala inayofanya vizuri kupitia radio stations mbalimbali za Tanzania haswa Arusha One Radio. Kupitia Kipindi cha "The Beat" Stereo amesema anategemea kufanya video ya wimbo huo wa Ukonga Na Ilala na Director wa hapa bongo kwakuwa anaamini sana katika uwezo wa ma-director wa nyumbani yanii tofauti na wasanii wengine wanaofanya video zao na ma-director nje ya Tanzania na miongoni mwa wasanii hao ni kama vile Ommy Dimpoz ,Diamond, Madee na wasanii wengine. Lakini pia Stereo aliongeza kwa kusema baada wimbo wa Ukonga na Ilala watu wategemee collabo nyingine na king wa Bongo Hip hop Fid Q , na wasanii wengine wa njee ya Tanzania akiwemo Collo wa kundi la Kleptomaniac kutoka pale nchini Kenya.
Unaweza Kupakua collabo mpya inayofanya vizuri kwenye chati za Mkito kati ya Stereo na Chidi Benz – Ukonga na Ilala https://mkito.com/song/ukonga-na-ilala-ft-chidi-benz/14006 powered by @nemmykim

News: Ujio wa Television ya Online inayokwenda kwa jina la vmgafricatv

By Nemmy Kim.
Hii ni maalum kwa wapenda burudani kwani ni ujio wa Televison ya Online inayokwenda kwa jina la vmgafricatv  OnlineTv Coming Soon!!!  Kaa Tayari kuchek vitu vizuri https://youtu.be/v1D50aBVxDo
Pia unaweza kutufata Instagram na Twitter @vmgafrica @vmgafrica @vmgafrica
#VmgAfrica @vmgafrica ni Jukwaa Lako Pia... Tumulike
Cc @j4cinyo @joh_makini @henrix_87 @jsmike12 @nikkwapili @gnakowarawara @bonta_maarifa @gentriez @nemmykim @djhaazu @chokadj @annapetertz @eugenmugga @chaliijambo @v_skillsmusic @fresh120media @chokadj @djchokatv @v_skillsmusic @djtass @sajjombembela @iambenpol @iam_nice.one @man_batoo @johnrodgerz @debiedebby @damian_soul @innomafuru @nakaayasumari @albertomsando @sonukibela @balati93 powered by @vmgafrica @vmgafrica @mkitodotcom @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
johvmgsoon

New Music :KCK_BANG BANG

By Nemmy Kim
Baada ya kufanya vizuri na nyimbo zao kama Bigidibust na Kombe huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa KcK Unaoitwa Bang Bang. Na unaweza kupata Wimbo wa "Bang Beng" toka kwa KCK Supremacy @dawgspac @booxkck @kcksupremacy ikiwa ni #hiphop category toka @noizmekah chini ya @defxtro
Bofya HAPA https://mkito.com/song/bang-beng/14025 kupakua Wimbo wa “Bang Beng” toka kwa KCK
KCK-bANGBENG_500