Pages

Tuesday, October 1, 2019

NEWS;R.KELLY AMESEMA AKUMBWA NA MATATIZO YA KIAFYA AKIWA JELA

By Creator,

Mwanamuziki wa RnB kutoka nchini Marekani afya yake ipo mashakani huku akiwa bado yupo jela huko Chicago.

NEWS;GUCCI MANE AMETANGAZA UJIO WA WOPTOBER II

By Creator
 
Rapa Gucci mane ametangaza ujio wa Album yake mpya ya Woptober II" Baada ya kupost cover ya Album yake hiyo mitandao ya kijamii, ambayo itakuwa ni muendelezo wa Mixtape ya Woptober ya 2016.

50 CENT AMEONGELEA UJIO WA ALBUM MPYA YA EMINEM

By Creator
Rapa 50 Cent ameongelea ujio  wa Album mpya ya Eminem, Ambapo alikutana Eminem Katika show jijini London iliyohudhuriwa na mashabiki elfu 80,000