Pages

Thursday, September 15, 2016

NEWS; Trump: Sasa ninaamini Obama alizaliwa Marekani

By Nemmy Kim.

Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump imetoa taarifa ikisema sasa anaamini Rais Obama alizaliwa nchini Marekani.

NEWS; Hillary Clinton arejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua

By Nemmy Kim.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani Bi Hillary Clinton amerejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua homa ya mapafu.

Monday, September 12, 2016

MUSIC; Motra The Future_Chafu Pozi Remix' (Hakunaga)

By Nemmy Kim.

Mwanamuziki wa hip hop Motra the Future baada ya kufanya wimbo na mwimbaji wa RnB Ruby.

INTERTAINMENT; Itazame Video Chris Brown Aliyokataa Kusimama Wakati Wimbo wa Taifa Ukiibwa.

By Nemmy Kim.

Mwimbaji wa RnB Chris Brown Alikataa Kusimama Wakati Wimbo wa Taifa wa nchi ya Marekani ukiimbwa.

NEWS; Waathiriwa wa tetemeko Kagera, Tanzania waomba msaada.

By Nemmy Kim.

NEWS; Wachimba migodi wakwama chini ya ardhi Afrika Kusini

By Nemmy Kim.

Wachimba migodi haramu waliokuwa wamekwama chini ya ardhi kwenye mgodi mmoja nchini Afrika Kusini tangu siku ya Jumatano wameokolewa.

INTERTAINMENT; Alikiba kutumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22

By Nemmy Kim.

Muimbaji wa Aje, Alikiba ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA huko Johannesburg, Afrika Kusini. 

INTERTAINMENT; SIFA ZA BARNABA KUHUSU VIDEO YA LOVER BOY.

By Nemmy Kim.

Msanii na mtayarishaji wa muziki wa ‘High Table Sound’ Barnaba amesema ameshangazwa na mapokezi makubwa ya video yake mpya ya wimbo ‘Lover Boy.

NEWS; Balotelli asema anajutia sana kujiunga na Liverpool

By Nemmy Kim.


Mshambuliaji wa Nice Mario Balotelli amesema kujiunga na Liverpool, 'ulikuwa uamuzi mbaya zaidi aliowahi kuufanya maishani mwake.'

NEWS: Paralimpiki yavunja rekodi ya mauzo ya fedha nyingi

By Nemmy Kim.

Mauzo ya tiketi katika michezo ya walemavu ya paralimpiki yamefikia milioni 1.8 hivi sasa, mauzo hayo yamefanya michezo hii kuwa ya pili kwa mahudhurio makubwa katika historia.