Pages

Saturday, November 26, 2016

VIDEO; Mwanamuziki AZMA na belle 9 wamedai hawajapaniki ila video yao mpya ya Astara Vaste ni bora kuliko ya Darasa na Ben Pol

By Nemmy Kim.


 Kulinganishwa kwa ukali wa video inayoitwa Astara Vaste ya Azma aliyomshirikisha belle 9 na Darassa aliyomshirikisha Ben Pol inayoitwa Muziki, imesababisha ushindani mkubwa kwa wadau na mashabiki.

NEWS; Diamond, Ali kiba, Vanessa Mdee na Navy Kenzo watajwa kuwania tuzo za Soundcity MVP

By Nemmy Kim.
Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Soundcity MVP 2016 yametangazwa, Diamond na Ali kiba kuzidiana katika vipengele wanavyowania vya tuzo hizo.

Video: Mwana FA Ft Vanessa Mdee – Dume Suruali

By Nemmy Kim.

Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Asanteni kwa Kuja”, Mwana FA ameachia video mpya ya wimbo, ‘Dume Suruali’ aliyomshirikisha Vee Money.

NES; Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

By Nemmy Kim.
Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake ametangaza.

NEWS; Ben Pol adai hajawahi kufurahia kufanya video kama ilivyokuwa kwenye ‘Muziki’ ya Darassa

By Nemmy Kim.

Kama umeitazama video ya wimbo mpya wa Darassa ‘Muziki’ aliomshirikisha Ben Pol, utakuwa umeona jinsi wanavyokula bata kiasi cha kukufanya uyatamani maisha yale.

NEW MUSIC; Ashanti f/ Ja Rule – Helpless

By Nemmy Kim.

Baada ya kupita kwa miaka mingi tangu Ashanti na Ja Rule waliposhirikiana kufanya wimbo wa pamoja

NEWS; Mwana FA aonya kuhusu bifu zinazoendelea Bongo ‘tunakoelekea tutatoana macho’

By Nemmy Kim.

Mwana FA ameonya kuhusu bifu zinazoendelea kwenye muziki wa Bongo Flava kwamba zinakoelekea, watu wanaweza kufanyiana vitu vya hatari zaidi.

NEWS;Chance The Rapper apanga kufanya kitu kikubwa kwa Kanye West

By Nemmy Kim.

Rapper kutoka kwenye mji wa Chicago, Chance The Rapper amedai kuwa anahitaji kufanya maombi makubwa kwa ajili ya Kanye West.

Tuesday, November 22, 2016

NEWS; RAFIKI ANAPOGEUKA ADUI NI BIFU KUBWA KATI YA Diamond na Ommy Dimpoz wakirushiana vijembe vya aibu Instagram

By Nemmy Kim.


 Baada ya Rich Mavoko na Diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya Kokoro

NEWS; August Alsina aumizwa na tukio la kuzimiwa mic kwenye tuzo za AMA

By Nemmy Kim.

Muimbaji wa Marekani, August Alsina ameumizwa vikali na tukio la kuzimiwa mic wakati akitumbuiza kwenye tuzo za AMAs mwishoni mwa wiki.

New Video: Rich Mavoko f/ Diamond – Kokoro

By Nemmy Kim.

Rich Mavoko ameachia Audio na video ya wimbo aliomshirikisha bosi wake, Diamond PlatnumzKokoro.’

NEWS; Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

By Nemmy Kim.

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Teaser: The Weeknd amfuata Drake, apanga kuachia filamu yake mpya

By Nemmy Kim.

The Weeknd ameamua kufuata nyayo za rapper Drake baada ya kupanga kuachia filamu yake fupi aliyoipa jina la ‘Mania’.

NEWS; Undani wa matatizo ya Kanye West yaliyomfanya asitishe ziara yake ya Saint Pablo

By Nemmy Kim.

Kim Kardashian alikwea ndege kurudi Los Angeles baada ya mume wake Kanye West kulazwa kulinda usalama wake kufuat

NEWS; Cristiano Ronaldo anarejea nyumbani Sporting Lisbon akiwa na kiatu maalum

By Nemmy Kim.

Mchezaji Cristiano Ronaldo leo atavaa viatu maalum vyenye tarehe ya 8/6/2003 ikiwa na kumbukumbu ya siku maisha yake ya soka yalipobadilika baada ya kuichezea Sporting Lisbon katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Manchester United.

NEWS; Baby J adai changamoto hazijawahi kumkatisha tamaa kufanya muziki

By Nemmy Kim.


Baby J amesema changamoto anazopitia kila siku, hazijawahi kumkatisha tamaa ya kufanya muziki.

Sunday, November 20, 2016

NEWS; Kanye West asitisha show yake ya LA, saa chache baada ya kuikatisha ya Sacramento

By Nemmy Kim.

Siku chache tu baada ya kumpigia debe rais mteule wa Marekani, Donald Trump — na saa chache baada ya kukatisha njiani show yake ya SacramentoKanye West ameisitisha show yake ya L.A.

NEWS; Majani adhamiria kumrudisha Cpwaa kwenye chati

By Nemmy Kim.

Producer mwenye mchango mkubwa katika mapinduzi ya Bongo Flava, P-Funk Majani anasema ‘mwenye muziki wake anarudi.’