Pages

Saturday, May 9, 2015

NEWS: BAADA YA BARUA KWA DIAMOND SASA AMEKUJA NA UJIO MPYA.

By Eva godchance
Msanii wa bongo flever Meda classic Meda classic , ambaye ni heatmeker wa "barua kwa Diamond" baada ya kupotea kwa mda mrefu, Sasa Amekuja na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Nashangaa jiji"wimbo  huo uliofanyika Mazuu record
Meda classic akihojiwa katika  kituo cha radio kilichopo jijini Arusha"Arusha one FM 101.6"

New Music: De Shinest_You're Yes

By Nemmy Kim.
Mwanamuziki kutoka kaskazini mwa Tanzania anayeitwa "De Shinest" wimbo unaitwa "Your'e Yes" . Wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Defxtro "Dx" kutoka Noizmekah Production.  powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro @nemmykim  #SupportYourOwn