Pages

Sunday, December 18, 2016

New Video; Dyso Gang_Stop it

By Nemmy Kim.

Itazame Video Mpya kutoka kwa Dyso Gang ni Msanii wa hip hop Anayetokea kanda ya kaskazini mwa Tanzania.

Saturday, December 17, 2016

NEWS; Mastaa wapamba uzinduzi wa video mpya ya Belle 9 ‘Give IT TO ME’

By Nemmy Kim.
Belle 9 Akizungumza na waandishi wa habari.
Mastaa wa muziki, filamu pamoja na viongozi wa serikali Jumamosi hii walipamba usiku wa uzinduzi wa video mpya ya Belle 9 ‘Give IT TO ME’.

Sunday, December 4, 2016

News; Iz Vato, Mwahip hop chipukizi pekee aliyefanya collabo na Geez Mabovu kabla ya kifo chake, Kwa sasa amekuja na wimbo mpya "Mbogo" kutoka Wanene Entertainment.

By Nemmy Kim.

Mwanahip hop Iz Vato ambaye ni Member wa kundi la Vatoloco Juniour Kutoka jijini Arusha,  Aliyewahi kufanya wimbo na Geez Mabovu unaoitwa "We are born solder"
Kwa sasa  Ametoa wimbo mpya unaoitwa "Mbogo"

Friday, December 2, 2016

NEWS; Trump amteua Jenarali James Mattis kuwa waziri wa ulinzi

By Nemmy Kim.

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amefanya mkutano wa kwanza wa hadhara tangu kushinda urais ambapo amemtangaza jenerali mstaafu James Mattis kama waziri mpya wa ulinzi.

NEWS; Y-Tony adai aliandika wimbo wake mpya akimuwaza Kajala, akiri kumpenda hadi anaumwa!

By Nemmy Kim.


Y-Tony amedai kuwa wakati anauandika wimbo wake mpya, Wivu Wangu, kichwani mwake alikuwa akimuwaza Kajala Masanja kwasababu ni mwanamke anayempenda sana.

New Video; Qlec Aule_Tafadhali

By Nemmy Kim.

Video  mpya kutoka kwa msanii Qlec Aule wimbo unaitwa Tafadhali hii ni video yake ya kwanza kutoa msanii huyo anayechipukia ambaye anatamani kufanya collabo na Ben pol na Ali Kiba.

Saturday, November 26, 2016

VIDEO; Mwanamuziki AZMA na belle 9 wamedai hawajapaniki ila video yao mpya ya Astara Vaste ni bora kuliko ya Darasa na Ben Pol

By Nemmy Kim.


 Kulinganishwa kwa ukali wa video inayoitwa Astara Vaste ya Azma aliyomshirikisha belle 9 na Darassa aliyomshirikisha Ben Pol inayoitwa Muziki, imesababisha ushindani mkubwa kwa wadau na mashabiki.

NEWS; Diamond, Ali kiba, Vanessa Mdee na Navy Kenzo watajwa kuwania tuzo za Soundcity MVP

By Nemmy Kim.
Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Soundcity MVP 2016 yametangazwa, Diamond na Ali kiba kuzidiana katika vipengele wanavyowania vya tuzo hizo.

Video: Mwana FA Ft Vanessa Mdee – Dume Suruali

By Nemmy Kim.

Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Asanteni kwa Kuja”, Mwana FA ameachia video mpya ya wimbo, ‘Dume Suruali’ aliyomshirikisha Vee Money.

NES; Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

By Nemmy Kim.
Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake ametangaza.

NEWS; Ben Pol adai hajawahi kufurahia kufanya video kama ilivyokuwa kwenye ‘Muziki’ ya Darassa

By Nemmy Kim.

Kama umeitazama video ya wimbo mpya wa Darassa ‘Muziki’ aliomshirikisha Ben Pol, utakuwa umeona jinsi wanavyokula bata kiasi cha kukufanya uyatamani maisha yale.

NEW MUSIC; Ashanti f/ Ja Rule – Helpless

By Nemmy Kim.

Baada ya kupita kwa miaka mingi tangu Ashanti na Ja Rule waliposhirikiana kufanya wimbo wa pamoja

NEWS; Mwana FA aonya kuhusu bifu zinazoendelea Bongo ‘tunakoelekea tutatoana macho’

By Nemmy Kim.

Mwana FA ameonya kuhusu bifu zinazoendelea kwenye muziki wa Bongo Flava kwamba zinakoelekea, watu wanaweza kufanyiana vitu vya hatari zaidi.

NEWS;Chance The Rapper apanga kufanya kitu kikubwa kwa Kanye West

By Nemmy Kim.

Rapper kutoka kwenye mji wa Chicago, Chance The Rapper amedai kuwa anahitaji kufanya maombi makubwa kwa ajili ya Kanye West.

Tuesday, November 22, 2016

NEWS; RAFIKI ANAPOGEUKA ADUI NI BIFU KUBWA KATI YA Diamond na Ommy Dimpoz wakirushiana vijembe vya aibu Instagram

By Nemmy Kim.


 Baada ya Rich Mavoko na Diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya Kokoro

NEWS; August Alsina aumizwa na tukio la kuzimiwa mic kwenye tuzo za AMA

By Nemmy Kim.

Muimbaji wa Marekani, August Alsina ameumizwa vikali na tukio la kuzimiwa mic wakati akitumbuiza kwenye tuzo za AMAs mwishoni mwa wiki.

New Video: Rich Mavoko f/ Diamond – Kokoro

By Nemmy Kim.

Rich Mavoko ameachia Audio na video ya wimbo aliomshirikisha bosi wake, Diamond PlatnumzKokoro.’

NEWS; Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

By Nemmy Kim.

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Teaser: The Weeknd amfuata Drake, apanga kuachia filamu yake mpya

By Nemmy Kim.

The Weeknd ameamua kufuata nyayo za rapper Drake baada ya kupanga kuachia filamu yake fupi aliyoipa jina la ‘Mania’.

NEWS; Undani wa matatizo ya Kanye West yaliyomfanya asitishe ziara yake ya Saint Pablo

By Nemmy Kim.

Kim Kardashian alikwea ndege kurudi Los Angeles baada ya mume wake Kanye West kulazwa kulinda usalama wake kufuat

NEWS; Cristiano Ronaldo anarejea nyumbani Sporting Lisbon akiwa na kiatu maalum

By Nemmy Kim.

Mchezaji Cristiano Ronaldo leo atavaa viatu maalum vyenye tarehe ya 8/6/2003 ikiwa na kumbukumbu ya siku maisha yake ya soka yalipobadilika baada ya kuichezea Sporting Lisbon katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Manchester United.

NEWS; Baby J adai changamoto hazijawahi kumkatisha tamaa kufanya muziki

By Nemmy Kim.


Baby J amesema changamoto anazopitia kila siku, hazijawahi kumkatisha tamaa ya kufanya muziki.

Sunday, November 20, 2016

NEWS; Kanye West asitisha show yake ya LA, saa chache baada ya kuikatisha ya Sacramento

By Nemmy Kim.

Siku chache tu baada ya kumpigia debe rais mteule wa Marekani, Donald Trump — na saa chache baada ya kukatisha njiani show yake ya SacramentoKanye West ameisitisha show yake ya L.A.

NEWS; Majani adhamiria kumrudisha Cpwaa kwenye chati

By Nemmy Kim.

Producer mwenye mchango mkubwa katika mapinduzi ya Bongo Flava, P-Funk Majani anasema ‘mwenye muziki wake anarudi.’

Tuesday, November 1, 2016

NEWS; Mr Blue asema hahitaji meneja kwenye muziki wake

By Nemmy Kim.

Msanii wa muziki wa kurap, Mr Blue amesema hahitaji kuwa na meneja wa kumsaidia katika kazi zake za muziki kwa kuwa tayari alishawahi kuwa na mameneja zaidi ya watatu ambao hawakumpatia mafanikio.

NEWS; WhatsApp yaanzisha video call kwenye simu za Android

By Nemmy Kim.

Baadhi ya watumiaji sasa wanaweza kupiga simu za video kutumia WhatsApp version ya Android.

NEWS; NECTA yawaonya watakaodanganya kwenye mtihani wa kidato cha nne

Nemmy Kim.

Ikiwa Jumanne hii ni siku ambayo wanafunzi wa kidato cha nne nchi wanaanza mitihani yao ya taifa, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetoa onyo kwa watu wote watakaojihusis.

Thursday, October 27, 2016

NEWS; Baharia atoweka akijaribu kuvunja rekodi ya dunia

By Nemmy Kim.

Baharia mashuhuri kutoka China Guo Chuan ametoweka akijaribu kuvunja rekodi ya kuvuka bahari ya Pasifiki akiwa peke yake.

New Music ; Voice Music Ft Jobiso_Zigo la Miba

By Nemmy Kim.

Wimbo mpya kutoka msanii wa bongo fleva Voice Music ni Mwanamuziki anayechipukia kutokea Mkoa wa Iringa .

Friday, October 7, 2016

NEWS; KAMPUNI YA BEFORWARD KUTOKA JAPANI NDIO INAONGOZA KWA UUZAJI WA MAGARI DUNIANI KWA BEI NDOGOZAIDI.

By Nemmy Kim.

Kampuni ya Beforward uuzaji wa magari kutoka nchini Japan iliyotangazwa kuwa na Punguzo kubwa la bei zake za magari tofautitofauti.

Tuesday, October 4, 2016

Video: Tiwa Savage Ft. Busy Signal – Key To The City (Remix)

By Nemmy Kim.

Video mpya ya wasanii kutoka Nigeria, Tiwa Savage toka lebo ya Mavins Records na Roc Nation ameachia video mpya ya wimbo “Key To The City”,

NEWS: Waandamanaji Ethiopia wakishambulia kiwanda cha Dangote

By Nemmy Kim.

Kiwanda cha kutengeneza simiti kinachomilikiwa na tajiri wa Afrika, mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote, kimeshambuliwa na waandamanaji katika eneo la Oromia, utawala wa eneo hilo umesema katika taarifa yake.

Thursday, September 15, 2016

NEWS; Trump: Sasa ninaamini Obama alizaliwa Marekani

By Nemmy Kim.

Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump imetoa taarifa ikisema sasa anaamini Rais Obama alizaliwa nchini Marekani.

NEWS; Hillary Clinton arejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua

By Nemmy Kim.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani Bi Hillary Clinton amerejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua homa ya mapafu.

Monday, September 12, 2016

MUSIC; Motra The Future_Chafu Pozi Remix' (Hakunaga)

By Nemmy Kim.

Mwanamuziki wa hip hop Motra the Future baada ya kufanya wimbo na mwimbaji wa RnB Ruby.

INTERTAINMENT; Itazame Video Chris Brown Aliyokataa Kusimama Wakati Wimbo wa Taifa Ukiibwa.

By Nemmy Kim.

Mwimbaji wa RnB Chris Brown Alikataa Kusimama Wakati Wimbo wa Taifa wa nchi ya Marekani ukiimbwa.

NEWS; Waathiriwa wa tetemeko Kagera, Tanzania waomba msaada.

By Nemmy Kim.

NEWS; Wachimba migodi wakwama chini ya ardhi Afrika Kusini

By Nemmy Kim.

Wachimba migodi haramu waliokuwa wamekwama chini ya ardhi kwenye mgodi mmoja nchini Afrika Kusini tangu siku ya Jumatano wameokolewa.

INTERTAINMENT; Alikiba kutumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22

By Nemmy Kim.

Muimbaji wa Aje, Alikiba ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA huko Johannesburg, Afrika Kusini. 

INTERTAINMENT; SIFA ZA BARNABA KUHUSU VIDEO YA LOVER BOY.

By Nemmy Kim.

Msanii na mtayarishaji wa muziki wa ‘High Table Sound’ Barnaba amesema ameshangazwa na mapokezi makubwa ya video yake mpya ya wimbo ‘Lover Boy.

NEWS; Balotelli asema anajutia sana kujiunga na Liverpool

By Nemmy Kim.


Mshambuliaji wa Nice Mario Balotelli amesema kujiunga na Liverpool, 'ulikuwa uamuzi mbaya zaidi aliowahi kuufanya maishani mwake.'

NEWS: Paralimpiki yavunja rekodi ya mauzo ya fedha nyingi

By Nemmy Kim.

Mauzo ya tiketi katika michezo ya walemavu ya paralimpiki yamefikia milioni 1.8 hivi sasa, mauzo hayo yamefanya michezo hii kuwa ya pili kwa mahudhurio makubwa katika historia.

Wednesday, August 24, 2016

NEWS; Manukato yaweza kusaidia kukabiliana na uhalifu, wanasema watafiti

By Nemmy Kim.

Wanasayansi wamebaini kuwa kemikali zinazotengeneza manukato zinaweza kuhama kutoka kwenye nguo ya mtu mmoja hadi mwingine, hata kama wamegusana kidogo.

NEWS; Wajumbe 8 wa kundi la WhatsApp wametiwa mbaroni Burundi

By Nemmy Kim.

Polisi nchini Burundi wamewatia nguvuni wajumbe wanane wa mtandao wa kijamii wa WhatApp .

NEWS; Watu 21 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi Italia

By Nemmy Kim.

Watu takriban 21 baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter katikati mwa Italia, taarifa zinasema.