Pages

Friday, August 12, 2016

NEWS; Christian Bella kuja na CB Records

By Nemmy Kim.

Pamoja na kuwa na bendi ya Malaika, Christian Bella amedai kuwa atafungua studio yake mwenyewe na record label iitwayo CB Records.

Amedai kuwa kupitia CB, atasainisha wasanii watakaokuwa chini yake.
Amedai kuwa studio hiyo itakuwa Sinza, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment