Pages

Wednesday, April 19, 2017

NEW MUSIC; AMAZING_SHAGHALABAGHALA

By Nemmy Kim.

Ni mara chache sana kusikia wimbo mpya kutoka kwa msanii chipukizi wa Tanzania Ambaye hayupo lebo ya wasafi ,Kwenda kufanya wimbo studio za wasafi record
ila mwanamuziki chipukizi anayeitwa Amazing' ametoa wimbo mpya  wa bongo fleva unaoitwa Shaghalabaghala' uliotengenezwa studio za wasafi record, chini ya producer Lizer. 

No comments:

Post a Comment